S.Liondo
JF-Expert Member
- Apr 20, 2011
- 3,408
- 1,712
Vitasikika wapi wakati vimepigwa marufuku kuongea na wananchi!!Hivi vyama bado vipo? Havisikiki kabisa
Vitasikika wapi wakati vimepigwa marufuku kuongea na wananchi!!Hivi vyama bado vipo? Havisikiki kabisa
Inatakiwa watumie haki yao kikatiba, wakiendelea namna hii watapotea kabisa. Wakiamua hakuna linaloshinfikanaVitasikika wapi wakati vimepigwa marufuku kuongea na wananchi!!
Sipingi mawazo yako moja kwa moja ila 'practicality' yake ndio siioni. Huko 'The Hague' watafikaje kabla ya damu nyingi haijamwagika? Hapo Kenya tu uliona jinsi walivyo'punch' hiyo The Hague' unayoisema, na wakaendelea kuingia madarakani hadi leo! Hapa inaonekana huelewi 'process' nzima ya kwenda huko 'The Hague'.Katika mazingira haya inahitajika jumuiya ya kimataifa ndio itatue matatizo ya democrasia ya Tz hao viongozi wa upinzani Mara ngapi wanafanyiwa maovu makubwa na uonevu hatuoni Watanzania wawatie Moyo? Watu waende The Hague wakajifunze kuheshimu wananchi wa nchi zao sio kugeuza jeshi kuwa Mali ya chama na bunge kuwa Mali ya mtu mmoja halafu utegemee usawa hapo
Huko Kenya baada ya The Hague unaona kuna ungese Kama unaoendelea hapa? Huoni Kama Uhuru Kenyatta wa kabla ya 2007 na huyu wa leo ni tofauti kabisa? Unafikiri kajipendea kuheshimu katiba? Kama kwenda huko Kunahitaji damu kumwagika ni wapi uliona Uhuru wa kweli ukapatika bila damu kumwagika? Kama watawala wanatengeneza mazingira ya kumwagika damu unawezaje kuepuka hayo mazingira pale ambapo jeshi lako limegeuzwa kuwa la chama? Unafikiri raia wa nchi wana jeshi kea kauli za Mabuyo? Ni wazi Kunahitaji jeshi la nchi litakalo waambia watalawa Katiba Ni Takatifu na sio hawa wachumia tumbo wanaovishwa vyeo vya kujenga majengo na kutishia raia zao ili waajiriwe jeshini.....Sipingi mawazo yako moja kwa moja ila 'practicality' yake ndio siioni. Huko 'The Hague' watafikaje kabla ya damu nyingi haijamwagika? Hapo Kenya tu uliona jinsi walivyo'punch' hiyo The Hague' unayoisema, na wakaendelea kuingia madarakani hadi leo! Hapa inaonekana huelewi 'process' nzima ya kwenda huko 'The Hague'.
Mawazo yangu ni kuwa hakuna njia ya mkato ya kuaondoa hayo uliyoyaelezea hapo juu ambayo hata mimi na wengi yanatuumiza. Njia pekee ni kupitia kwa wananchi, na ili iwe hivyo, ni lazima kuwa na subira na kufanya kazi ngumu ya kuwafikia wananchi hao na kuwaelimisha. Inaweza ikachukua miaka kadhaa, lakini ni njia sahihi kabisa na ya uhakika ya kuyaondoa manyanyaso hayo uliyoyaelezea.
Sasa hivi hatuendi kwa katiba, tunaenda kwa matamko tu. Yaani bado tunayo safari ndefu sana mpaka kufikia kuwa jamii inayoheshimu sheria.Inatakiwa watumie haki yao kikatiba, wakiendelea namna hii watapotea kabisa. Wakiamua hakuna linaloshinfikana
Ni kwasababu wananchi tumekubali hali hiyo itokee, ingekuwa Kenya wangegoma kabisaSasa hivi hatuendi kwa katiba, tunaenda kwa matamko tu. Yaani bado tunayo safari ndefu sana mpaka kufikia kuwa jamii inayoheshimu sheria.
Unaeleza ninayoyafahamu yote vizuri kabisa, na nimekwishakueleza mara kadhaa kwamba ikishindikana kuepuka kumwaga damu ya waTanzania, basi hakuna namna.Huko Kenya baada ya The Hague unaona kuna ungese Kama unaoendelea hapa? Huoni Kama Uhuru Kenyatta wa kabla ya 2007 na huyu wa leo ni tofauti kabisa? Unafikiri kajipendea kuheshimu katiba? Kama kwenda huko Kunahitaji damu kumwagika ni wapi uliona Uhuru wa kweli ukapatika bila damu kumwagika? Kama watawala wanatengeneza mazingira ya kumwagika damu unawezaje kuepuka hayo mazingira pale ambapo jeshi lako limegeuzwa kuwa la chama? Unafikiri raia wa nchi wana jeshi kea kauli za Mabuyo? Ni wazi Kunahitaji jeshi la nchi litakalo waambia watalawa Katiba Ni Takatifu na sio hawa wachumia tumbo wanaovishwa vyeo vya kujenga majengo na kutishia raia zao ili waajiriwe jeshini.....