Kinondoni, Dar: TAKUKURU inawashikilia viongozi wanne wa Jimbo la Ubungo(CCM) kwa tuhuma za rushwa

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,806
11,968
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa(TAKUKURU) Wilaya ya Kinondoni, inawashikilia viongozi wanne wa Jimbo la Ubungo(CCM) kwa tuhuma za rushwa pamoja na kuanza kampeni za uchaguzi mkuu kabla ya muda.
1591020702778.png
1591020726534.png
1591020746847.png
 
Okoa kwanza nyumba yako ndugu kabla hujaanza kuzima moto nyumba yà jirani yako.
 
Back
Top Bottom