Kinondoni, Dar: Hamza mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Scenario inayosemwa ni kuwa zile silaha alinyang'anya maaskari baada ya kutaka kumwonea kimakosa, haya mambo yanafanyika sana hasa wale wanaitwa tigo wanaozunguka na pikipiki ni washenzi sana wale. Hapo mtambambika kesi kuwa alishirikiana na gaidi walioko Zambia kwa sababu mnajua hawezi ongea lakini damu yake itawa hunt mmoja baada ya mwingine na hamtatoboa!!
Katika tuhuma zinazosambaa mitandaoni ni kua Jamaa kadhulumiwa na hao hao uliowataka wafanye Uchunguzi. Anyway, ngoja tuone
 
Polisi wamejengewa hii tabia ya dhuluma na watawala waliopo madarakani, kama hawa hawa polisi ndio wanaotumika na watawala waliopo madarakani ili kupora chaguzi, unategemea kuna wa kumzuia mwenzake? Kinachofanyika kwa polisi na watawala hawa ni kile waswahili wasemacho, nilinde kwa jua, nikulinde kwa mvua. Hapo polisi wanahakikisha ccm wanaingia madarakani kwa kupora chaguzi, kisha ccm wakishaingia madarakani wanawaachia polisi wale rushwa na kupora wananchi.
Mungu atungulize haki mbele. Jeshi la polisi ni muhimu sana kwa usalama wa raia na mali zao. ILA ndani yao kuna baadhi wanakosa weledi na wanatumia nafasi kwa masilahi binafsi.

Binafsi sipendi kudhulumiwa, mbaya zaidi unadhulumiwa waziwazi. Ikiwa kweli kuna dhuluma, basi jeshi lijitathimini na kuua mtandao wa polisi dhulumati
 
Hoja yako ni nyepesi sana... Unaanza vipi kumringanisha mtu mwenye sare amaye amepitia mafunzo ya silaha na raia wa kawaida???

Kuanzia hapo tu ndipo ulipoonyesha udhaifu🚮🚮
Ndo maana nasema weng hatujui haya mamboo.mtu yule namna na umiliki wa silaha naamin anamafunzo ya silaha. Kama huamin basi ka na mtizamo wako namie nbaki na wangu
 
Bogus ni hawa Polisi waliokuwa wanataka kumpora bwana Hamza madini yake wakaishia kuuawa na Bwana Hamza pamoja na wewe unaeshabikia mifumo ya utoaji haki ambayo imeoza katika nchi hii.
Je hiyo njia sahihi ya kudai haki hata mbele za Allah au Mungu?
 
Ngojeni uchunguzi huru ufanyike. Kumbe aliyedhulumiwa ni baba yake? Msomali anapewa migodi Tanzania? Kwanini hakwenda kwenye vyombo vya dola au kuwashughulikia wabaya wa baba yake? Je huyo mlinzi aliyeuawa naye alikuwa na kosa gani? Ugaidi kwa tafsiri ya haraka ni kusababisha terror kwa wengine. Hivyo, alichofanya ni ugaidi na walichokuwa wamefanya polisi kama ni kweli ni dhuluma.

Ukijihusisha na CCM hata kama sio Mtanzania utapewa uraia wa Tanzania tu. Cha muhimu utoe mchango kwenye chama.
 
Ndo maana nasema weng hatujui haya mamboo.mtu yule namna na umiliki wa silaha naamin anamafunzo ya silaha. Kama huamin basi ka na mtizamo wako namie nbaki na wangu
Broiler lile mafunzo litakua limeyapatia kwenye play station call of duty
 
Kama ni dhuluma hakika ni sugu asubui tu mama alikuwa akiwaasa waache dhuluma,waache kubambika,
 
Back
Top Bottom