Kinondoni, Dar: Hamza mohammed, Polisi Watatu na mlinzi mmoja wauawa katika Majibizano ya Risasi

Nature ya ulinzi wetu wa jiji ni mdogo, nchi za watu waliostraabika CCTV camera za barabarani zingemuonyesha tangia alikotokea hadi kufika hapo eneo la tukio... na alipitaje huko na hiyo mashine kubwa bila kushtukiwa na maaskari.

Ingekuwa hivyo kule marekani wasingekuwa watu kama hao wanaua watu kibao
 
Ukiwa polisi inabidi uwe jasiri tu mkuu na ufanye hivyo,hakutakiwa kufa yule kwa matumizi ya baadae
You don't know chuma wewe..😅

Kwa kiwango naona wamejitahidi mkuu haya mambo ni hatari mkuu sikia tu,nilichoona walichokosea ni kuwa muhalifu alisalenda mashambulizi yakaendelea! Hili nalo lakuangalia mara mbili aidha angeenda na mtu hata kama amejisalimisha muhalifu nae huwa anaplani nyingi mno anaweza taka mtu wa kutoroka nae..
 
Dah inaogopesha. Na ni juzi huko Mombasa Kenya polisi waliwawahi magaidi wawili ambao walikuwa na AK 47 wakienda kuvamia kituo cha polisi. Aliyewauza ni gaidi mwenzao aliyekamatwa na kutoa siri. View attachment 1907803
Na kabla hajawahiwa kulikuwa na msafara anausubiri huenda angemaliza viongozi wetu
 
Mungu tuepushie mbali haya mambo. Tunamshikilia Mbowe haya sasa mungu katupa kile tunachikitaka, Dah Poleni Jeshi la Polisi
Ujumbe wako huu ni mzito. Mungu atulinde maana mambo yanaweza kugeuka sasa hivi Mungu akiondoa ulinzi wake katika nchi na hakuna wa kuweza kulinda tutaishia tu kujichinja wenyewe. Watawala jifunzeni kutenda haki na wacha Mungu tuendelee kumwomba Mungu awape watawala maarifa na tuendelee kuwa na amani.

BWANA asipoijenga nyumba Waijengao wafanya kazi bure. BWANA asipoulinda mji Yeye aulindaye akesha bure. (Zab 127:1)
 
inaonekana hii bajaji ni tupu, dereva na abilia wake wamesepa baada ya kusikila mlio wa SMG karibu kabisa kwa mara ya kwanza maishani kwao - angekuwa jasiri angetulia akamredi sauti ili tupate kujua nini hasa alichokuwa anakitaka huyu jamaa.

Wabongo wengiwao waoga mno. Wao Wanaweza kuchoma vibaka tu ndiyo level yao.
 
Sawa tu hata wakitudanganya ila wakae wakijua hili tukio sio la kuchukulia masihala. Huenda akawa ni mmoja kati ya wengi ambao hawajajulikana bado.

Acha tumsubirie Mambo Sasa. Ila kwa Polisi wetu hawashindwi kutuambia alikuwa na Tatizo la Akili
Mambosasa kwa sasa hayupo tena Dar. Aliyepo Dar ni Jumanne Mlilo
 
Back
Top Bottom