Kuna tukio limetokea hivi punde la mtu hasiejulikana kufyatua risasi hovyo na kuuwa askari , katika tukio hilo mpaka sasa hakuna taarifa za ndani juu ya tukio hilo zaidi ya mitandao ya kijamii kurusha picha za mtu huyo akiwa hai na nyingine akiwa amekufa. Sasa masikio na hamu tele kwa watanzania kujua huyo ni nani ? ametokea wapi?
alikuwa anazungumza nini kabla ya tukio kutokea na kabla kuuwawa ? kwanini alielekea ubalozi wa ufaransa au kwanini alikuwa maeneo hayo ya darajani ? kwanini ameanza kushambulia askari ? Interlijensia ya Polisi nchini inasemaje kwa tahadhari?
Je, umbo la Interlijensia linasema walikuwa wangapi na walipanga nini hasa? maswali mengi tunayo na tunawasubiri waandishi wetu hapa nchi , mana Marekani kupitia Ubalozi wao wameisha toa tahadhari kwa Raia wake , Je, Raia wa Tanzania wafanye nini ?