G4rpolitics
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,335
- 5,184
Hebu tuanzie pale kuwa, bunduki mbili zile za maaskari alizipataje? Je, ni kweli maaskari wetu walikuwa soft na kumruhusu awanyang'anye hizo bunduki kibwege bwege? Jibu ni hapana, aliwashtukizia ghafla na kuwa shoot...hata ingekuwa wewe lazima ungepigwa risasi.