Kingunge Retires!

Huu umekuwa mwaka mgumu sana kwa huyu mzee...mara NEC na sasa uwaziri.Kuna joke mtaani kuwa alikuwa anakata majina ya watu kuingia NEC,akajisahau akakata na la kwake!
I felt sorry for him the other day,baada ya Lowassa kujiuzulu,Kingunge alivyohojiwa alishindwa kujibu harakaharaka.
 
Nyinyi watu hamnipendi ndio maana JK anapata shida kuunda baraza lake. Kila akimaliza list anaangalia JF wanasemaje, anakuta mmeshatibua, ana scratch majina na kuanza upya. Ningekuwa mimi namshauri aende "kivyake vyake" tukutane baada ya kutangaza hivyo awaaambie wazime internet pale..ama sivyo hawatamaliza kuunda hilo baraza.

Umeniacha hoi sana.
Ina maana mkuu wa kaya huwa amepata mwanga wa muundo wa baraza lake kutoka hapa sio? kama ni hivyo basi tuko juu sana. Ila huo ushauri wako wa kwamba azime mtandao na kuendelea na kazi nadhani ataufuata.

Huu umekuwa mwaka mgumu sana kwa huyu mzee...mara NEC na sasa uwaziri.Kuna joke mtaani kuwa alikuwa anakata majina ya watu kuingia NEC,akajisahau akakata na la kwake!I felt sorry for him the other day,baada ya Lowassa kujiuzulu,Kingunge alivyohojiwa alishindwa kujibu harakaharaka.

Duh, painful joke!
Kama watu wamekuchoka basi unachokwa jumla. Kwamba mzee alisinzia hadi NEC na kukata jina lake pia!
Hii ni stori ya karne.
Nimtakie mzee wetu mapumziko mema.
 
Huu umekuwa mwaka mgumu sana kwa huyu mzee...mara NEC na sasa uwaziri.Kuna joke mtaani kuwa alikuwa anakata majina ya watu kuingia NEC,akajisahau akakata na la kwake!
I felt sorry for him the other day,baada ya Lowassa kujiuzulu,Kingunge alivyohojiwa alishindwa kujibu harakaharaka.

Naamini mzee Kingunge ni mmoja wa watu ambao walishindwa kusoma alama za nyakati na akajaribu kuchanganya itikadi yake ya "ukomonisti wa Kibepari wenye ladha ya Kijamaa" katika taifa la leo. Alijikuta hana pa kukamatia. Mwanzoni niliamini alikuwa ni mtu wa itikadi lakini baada ya itikadi kuvunjika alijikuta hana cha kushikilia na hivyo kufuata mkumbo wa mabadiliko.

Ni wazi kuwa mabadiliko haya ya juzi hakuyatarajia na hatimaye ameweza kuona "nuru" gizani!! Angefanya hivi miaka mitano iliyopita, leo angekuwa mshauri na mzungumzaji huru kama kina Warioba na Butiku..
 
Hapana huyo mzee amewaonea huruma tu ,sasa ndio mnapata mdomo ,kusema walishindwa kumng'oa na alipowaona jamaa wamechoka ndio akawaachia ,kusema kweli alikuwa amekwama na hakuna wa kumtoa nguvu hila vitendo maneno,yote yalimalizika ,jamaa bado akawa anatweta na wala hana habari ,ila ameamua kukaa kando baada ya kuona mtaishiwa na nguvu ndio mnajidai.
 
Mungu amtusikia wana wa watanzania,nadhani kuanzia Mwakani hizi tenda za ubungo terminal na Car parking zitaanza kutangazwa magazetini.mie nitakuwa wa kwanza kuomba.maana hawa jamaa walikuwa wametushika pabaya.wakati mwingine unaombea huyu angekuwa Amina Chifupa,wanakufa vijana ila wazee wasio na maana wanabaki.uanweza kuta hili li baba ndilo lilikuwa linasababisha maovu yote ya RDC.sasa mshauri gani wa rais ambaye anshindwa kumwambia muungwana amung'oe Lowassa??
 
Ni wazi kuwa mabadiliko haya ya juzi hakuyatarajia na hatimaye ameweza kuona "nuru" gizani!! Angefanya hivi miaka mitano iliyopita, leo angekuwa mshauri na mzungumzaji huru kama kina Warioba na Butiku..

Tatizo Mzee hata Elimu yake ni matatizo,unadhani nani atamsikiliza??anatoa ushauri kutokana na mambo ya zamani.Hivi anjua Kuzungumza hata kingereza?manaake nadhani hata ujio wa Bush ingekuwa aibu.Hongera kwa kuachia ngazi Mh. Kingunge Ngombale Mwiru,kiongozi muadilifu kwa sera za ccm,asiye mpole,mlanguzi,mfanyabiashara,mfitina na anayependa makuu
 
Ndani ya JF tuliwahi kusema kwamba Kingunge is not Carl Rove! Kingunge was long past his sellby date. Politics za 21st century ziko sophisticated, zinahitaji political scientists ( na siyo cheer leaders!).

Mzee Kingunge obviously was out of step with reality, still orbitting in the 70's and 80's. Kuondoka kwake (hatimaye!!), ni jambo la maendeleo!!

We wish him well.
 
Nyinyi watu hamnipendi ndio maana JK anapata shida kuunda baraza lake. Kila akimaliza list anaangalia JF wanasemaje, anakuta mmeshatibua, ana scratch majina na kuanza upya. Ningekuwa mimi namshauri aende "kivyake vyake" tukutane baada ya kutangaza hivyo awaaambie wazime internet pale..ama sivyo hawatamaliza kuunda hilo baraza.
na kesho lazima atushukuru wakati akitaja Baraza la mawaziri.
 
Mimi nadhani tatizo sio Kingunge, tatizo ni Rais mwenyewe kama anaona bado anamhitaji who will say no wen pres atakapo ku offer Ministerial post? Tena post ya kushughulikia "vyama vya siasa"

JK hakufanya uamuzi sahihi alipompa uwaziri zaidi ilikuwa ni fadhila ya kumuunga mkono kwenye kampeni.

Labda niazime maneno ya busara aliyosema YeboYebo siku 2 zilizopita.. " Waliochangia kampeni wote washarudisha pesa zao sasa JK achague wachapa kazi"
 
Nakupa tano Masatu na nampa 5 yeboyebo sasa kazi tu imebaki .
 
huyu alikuwa kiwingu tu...............na mzigo kwa JK......yes it was long overdue
 
Finally, one of the longest serving politicians in the country Mr. Kingunge Ngombale Mwiru has retired from active politics.... Mr. Kingunge has decided to retire on the eve of the announcement of the new cabinet by President Jakaya Kikwete following the dissolution of the previous cabinet due to Richmond scandal!

Yawezekana, ameona "alama za nyakati"!

so kuna nafasi moja mpya ya Ubunge wa kuteuliwa..

Unajua Huyu Mzee Kazi yake eti ilikuwa kutabiri hali ya hewa Kisiasa ndani na nje ya CCM,(Political Analysist) sasa kwa hilo Wingu zito la Mvua linalo endelea kutanda Nchini,basi yaelekea ni MASIKA TUPU hadi 2010,sidhani kama JK angemhitaji tena.
 
Hivi hii ina maana pia na ubunge basi? nadhani ni uwaziri tu pale bungeni ataendelea kusinzia mpaka term yake ya miaka 5 itakapokwisha...
 
Hivi hii ina maana pia na ubunge basi? nadhani ni uwaziri tu pale bungeni ataendelea kusinzia mpaka term yake ya miaka 5 itakapokwisha...

Masatu, nashukuru kwa kugusia hilo la Ubunge....lakini je kunatofauti kati ya Ubunge wa Kuteuliwa,na Wakuchaguliwa??

-Kuteuliwa na Rais....
-Kuchaguliwa na Wanajimbo....
Naomba kuelimishwa zaidi.
 
Masatu, nashukuru kwa kugusia hilo la Ubunge....lakini je kunatofauti kati ya Ubunge wa Kuteuliwa,na Wakuchaguliwa??

-Kuteuliwa na Rais....
-Kuchaguliwa na Wanajimbo....
Naomba kuelimishwa zaidi.

kwa uelewa wangu, ukishateuliwa kuwa mbunge na Raisi utaendelea kuwa mbunge hata kama utastaafu uwaziri lakini bado unabaki kuwa mbunge..unless astaafu pia ubunge wenyewe rasmi.

ubunge wa kuchaguliwa na wanajimbo ndo huo wa kawaida na ni more prestigious walau wa demokrasia kuliko wa kuteuliwa na rais, japo wote wanakuwa na hadhi sawa bungeni.
 
mIE NADHANI HILO LA KUSTAAFU SIASA NI GEA TU,ALISHASHTUKIA KUWA ATABWAGWA KWENYE NEXT CABINET...KUREJESHA FEDHEHA ALIYOIPATA KWENYE UCHAGUZI WA CCM DODOMA.

USHAURI WA BURE KWA KINJE: GROW UP NOW...JINA LINALOKUPA JEURI NDIO HILO LINAANZA KUSINYAA.
 
Kuteuliwa na Rais....
-Kuchaguliwa na Wanajimbo....
Naomba kuelimishwa zaidi.

Wote ni wabunge, lakini wanapokuwa ndani ya bunge hawa wa rais na viti maalum, huitwa wabunge wa kupendelewa huwa hawana heshima kabisa mbele ya wabunge wa kuchaguliwa bungeni, na hata mawaziri,

Kama nikujiuzulu uwaziri kwa Kingunge, ni mpaka aseme kuwa anajiuzulu na ubunge pia, otherwise bado anaendelea mpaka mwisho wa 5 years term.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom