Kingunge Retires!

Mzee Mwanakijiji

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Messages
31,875
Likes
8,036
Points
280
Mzee Mwanakijiji

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined Mar 10, 2006
31,875 8,036 280
Finally, one of the longest serving politicians in the country Mr. Kingunge Ngombale Mwiru has retired from active politics. Mr. Kingunge has decided to retire on the eve of the announcement of the new cabinet by President Jakaya Kikwete following the dissolution of the previous cabinet due to Richmond scandal!

Yawezekana, ameona "alama za nyakati"!

so kuna nafasi moja mpya ya Ubunge wa kuteuliwa...
 
M

Mpanda Merikebu

Senior Member
Joined
Dec 27, 2007
Messages
170
Likes
3
Points
35
M

Mpanda Merikebu

Senior Member
Joined Dec 27, 2007
170 3 35
Finally, one of the longest serving politicians in the country Mr. Kingunge Ngombale Mwiru has retired from active politics. Mr. Kingunge has decided to retire on the eve of the announcement of the new cabinet by President Jakaya Kikwete following the dissolution of the previous cabinet due to Richmond scandal!

Yawezekana, ameona "alama za nyakati"!

so kuna nafasi moja mpya ya Ubunge wa kuteuliwa...
Halellujah!!! Rabuka Mtukuka amesikia kilio chetu.
 
M

Morani75

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2007
Messages
619
Likes
2
Points
0
M

Morani75

JF-Expert Member
Joined Mar 1, 2007
619 2 0
asalaaaleeeee..... Unajua Molla anasikia kilio cha watu wake. Sasa naona WASHIMIWA wameanza kuona mambo yameanza kuwa hadharani na wale tuliokuwa "WADANGANYIKA" tumekuwa "WATANZANIA".

Walituona vipofu wakawa wanapenya na kujitahidi kutokutushika mkono, kumbe duh sisi tulikuwa tunausoma mchezo..... Haya kina Mramba, Mwapachu na all over 65 muanze kujisogeza pembezoni muache vijana wa leo na wale wa jana waingie kwenye hatamu.... Nyinyi vijana wa majuzi haya mtambae kona mkalie pensheni kule pembeni mtuachie Tanzania yetu!!!

Eee Molla endelea kuwapa hao watu moyo wa kujua mema kutoka na mabaya na uwaongoze ili waweze kuomba kujiuzulu mapema manake Ari Mpya, Nguvu Mpya, Kasi Mpya na sasa tunaweka DAMU MPYA!!! JK kanyaga twende mzee!!
 
W

WembeMkali

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2007
Messages
282
Likes
0
Points
0
W

WembeMkali

JF-Expert Member
Joined Jun 16, 2007
282 0 0
Mzee wa kamati ya ufundi kaamua kustaafu!.Kweli mungu naona umeamua kusikiliza vilio vya watanzania.
Asante Mungu kwa yote tunaamini kuwa upo upande wetu na tutashinda katika harakati hizi za ukombozi dhidi ya mafisadi na wag'ag'anizi wa madaraka.

-Wembe.
 
Power to the People

Power to the People

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2007
Messages
1,200
Likes
253
Points
180
Power to the People

Power to the People

JF-Expert Member
Joined Jul 11, 2007
1,200 253 180
Huku sio kustaafu kaona aachie ngazi kabla hajapigwa chini. Wamemshauri wenzake asije akaaibika. lakini ni vizuri pia hawa wazee wakikubaliana na hali halisi wakachapa mwendo.

mungu awafungue mioyo na roho zao walw watakaoteuliwa wakumbuke makosa ya wenzao na kujifunza. God bless this lovely country and all it people.
 
M

mwana siasa

Senior Member
Joined
Aug 28, 2007
Messages
119
Likes
1
Points
35
M

mwana siasa

Senior Member
Joined Aug 28, 2007
119 1 35
Jamani wakubwa kuna mtu anajua chochote kinachoendelea dodoma sasa hivi?.mana nilipata habari kuwa baraza ni saa 4 kamili.naomba mliopo huko tusaidiane tujue nini kinaendelea
 
S

S. S. Phares

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2006
Messages
2,141
Likes
13
Points
135
S

S. S. Phares

JF-Expert Member
Joined Nov 27, 2006
2,141 13 135
Good news...its about time.
 
Bongolander

Bongolander

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2007
Messages
4,882
Likes
61
Points
135
Bongolander

Bongolander

JF-Expert Member
Joined Jul 10, 2007
4,882 61 135
Huyu mzee anaweza kuwa ameingia kwenye Guiness book, the oldest comrade to be in the cabinet. Lakini ni vizuri kwa kuwa ameona amefanya uozo, hii inaonesha kuwa bado ana akili!
 
Tulamanya

Tulamanya

Senior Member
Joined
Oct 18, 2007
Messages
128
Likes
0
Points
0
Tulamanya

Tulamanya

Senior Member
Joined Oct 18, 2007
128 0 0
Huyu mzee kasoma alama za nyakati.....! Mhimu liwe fundisho na kwa wengine??

festog
 
B

Bobby

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2008
Messages
1,823
Likes
397
Points
180
B

Bobby

JF-Expert Member
Joined Jan 10, 2008
1,823 397 180
Nenda Kingunge nenda mzee umeshachoka na umekula sana hakuna haja ya kufia kitini WHY?

Lakini wakati unaenda tafadhali sahau vitu vyote lakini hivi viwili chonde chonde tunaomba usivisahau:

1.TPS-Tanzania Parking System_Mwanao Kinje ndio anamiliki hii kitu. Niliwahi kuuliza nikaambiwa hii ni biashara kama biashara nyingine eti analipa kdo serikalini-What a nonesense kwani jiji hawajui hata kiwango gani kinakusanywa on average kwa siku. So Kinje kazi yake ni kureport anachotaka then alipe kodi yake. Huu upuuzi mpaka lini? kukusanya pesa nayo ni biashara? Si afadhali angekuwa wakala?

2.Ubungo terminal ni mkeo pia ndiye anayekusanya mapato. I'm told kwa hesabu ya mwaka juzi siku yenye mapato madogo ilikuwa inakusanywa mil 5. Please please turudishie terminal yetu mapema otherwise msijemkatulaumu bure.
 
L

Lizy

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2008
Messages
413
Likes
285
Points
80
L

Lizy

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2008
413 285 80
Finally, one of the longest serving politicians in the country Mr. Kingunge Ngombale Mwiru has retired from active politics. Mr. Kingunge has decided to retire on the eve of the announcement of the new cabinet by President Jakaya Kikwete following the dissolution of the previous cabinet due to Richmond scandal!

Yawezekana, ameona "alama za nyakati"!

so kuna nafasi moja mpya ya Ubunge wa kuteuliwa...

Yeah, finally.

Though........., As long as alikuwa Just Waziri asiye na Wizara Maalum (correct me if I'm wrong), na tamkao la Waziri Mkuu mpya kwamba watadownsize Wizara/Mawaziri, I am afraid hii ni moja kati ya Wizara zitazotemwa. We'll see.

____________________
 
M

Mtanzania

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2006
Messages
4,818
Likes
61
Points
145
M

Mtanzania

JF-Expert Member
Joined May 4, 2006
4,818 61 145
Afadhali sana ameondoka, alikuwa mzigo kwa taifa. Alikuwa haongezi value yoyote kwenye serikali maana mawazo yake yamepitwa na wakati na bahati mbaya Kingunge hakusoma alama za nyakati na kubadilika na muda.

Akale pension yake kama akina Kawawa. Vijana wapya waje na mawazo mapya kukabiliana na matatizo mapya ya taifa letu.
 
Mzee Mwanakijiji

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Messages
31,875
Likes
8,036
Points
280
Mzee Mwanakijiji

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined Mar 10, 2006
31,875 8,036 280
unajua kuna wengine wanakuwemo kwa sababu fulani kama mzee Malecela ambaye wananchi wame wamerudia kumpa nafasi Bungeni kama ilivyo kwa Mzindakaya na wengine, ila la huyu mzee sikuelewa kabisa. Naamini aligundua amepitwa na wakati baada ya kutoa maoni ya kinazi kwenye suala la Buzwagi!
 
Idimi

Idimi

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2007
Messages
11,391
Likes
3,141
Points
280
Idimi

Idimi

JF-Expert Member
Joined Mar 18, 2007
11,391 3,141 280
Mzee wa kamati ya ufundi kaamua kustaafu!.Kweli mungu naona umeamua kusikiliza vilio vya watanzania.
Asante Mungu kwa yote tunaamini kuwa upo upande wetu na tutashinda katika harakati hizi za ukombozi dhidi ya mafisadi na wag'ag'anizi wa madaraka.

-Wembe.
Wembe,
Huyu Mzee alishakataliwa tangu mwaka jana na wanasisiemu wenzake kwa kunyimwa kura za kuingia katika kamati kuu ya sisiemu, kiasi kwamba kila mtu alishangaa. Hapa ndio ujue kwamba alikuwa tayari ashachokwa, kwa hiyo it was a ticking time against him! Sasa basi, kwa mantiki hiyo nadhani alikaa akifikiri ni aibu gani angepata iwapo mheshimiwa Kikwete angemtupa kapuni katika baraza jipya (hii ilikuwa lazima), ambalo kwa namna yoyote hawezi kuhimili mikiki yake. Kama unakumbuka vyema alipwaya na kuaibika sana wakati wa sakata la BOT pale ambapo Wadanganyika walimzodoa baada ya yeye kuwatetea mafisadi. Nadhani ndio sababu iliyomfanya astaafu.

Yeah, finally.

Though........., As long as alikuwa Just Waziri asiye na Wizara Maalum (correct me if I'm wrong), na tamkao la Waziri Mkuu mpya kwamba watadownsize Wizara/Mawaziri, I am afraid hii ni moja kati ya Wizara zitazotemwa. We'll see.

____________________
Huyu alikuwa anashughulikia mambo ya uhusiano wa vyama vya siasa. Of course alikuwa mzigo tu. Hiyo wizara nadhani itakuwa dissolved.
 
A

Atanaye

Senior Member
Joined
Oct 31, 2007
Messages
153
Likes
1
Points
35
A

Atanaye

Senior Member
Joined Oct 31, 2007
153 1 35
Technology imempitia mbali, hawezi kujibu mashambulizi ya nguvu kama ya humu JF...Mie nashauri JK amuweke Mwanakijiji kwenye hiyo nafasi.;)

Amewajibika tu.
 
Kapinga

Kapinga

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2007
Messages
727
Likes
3
Points
0
Kapinga

Kapinga

JF-Expert Member
Joined Nov 20, 2007
727 3 0
I second that..hawa ndo wazee ambao hata kuwasha computer tabu..wangejua yaliyo online wanaweza kupata pressure...
 
Mzee Mwanakijiji

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Messages
31,875
Likes
8,036
Points
280
Mzee Mwanakijiji

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined Mar 10, 2006
31,875 8,036 280
Nyinyi watu hamnipendi ndio maana JK anapata shida kuunda baraza lake. Kila akimaliza list anaangalia JF wanasemaje, anakuta mmeshatibua, ana scratch majina na kuanza upya. Ningekuwa mimi namshauri aende "kivyake vyake" tukutane baada ya kutangaza hivyo awaaambie wazime internet pale..ama sivyo hawatamaliza kuunda hilo baraza.
 
A

Atanaye

Senior Member
Joined
Oct 31, 2007
Messages
153
Likes
1
Points
35
A

Atanaye

Senior Member
Joined Oct 31, 2007
153 1 35
Nyinyi watu hamnipendi ndio maana JK anapata shida kuunda baraza lake. Kila akimaliza list anaangalia JF wanasemaje, anakuta mmeshatibua, ana scratch majina na kuanza upya. Ningekuwa mimi namshauri aende "kivyake vyake" tukutane baada ya kutangaza hivyo awaaambie wazime internet pale..ama sivyo hawatamaliza kuunda hilo baraza.
Mkuu,
Unajua kuna ya ukweli na ukweli kidogo, Nilishasoma mambo DR WHO aliyoyasema. Kama ni ukweli kidogo basi sioni tabu kwa nini usimsaidie JK na machinery ambayo Kingunge ameshindwa kukiendeleza. LOL
 
Lunyungu

Lunyungu

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2006
Messages
8,842
Likes
96
Points
145
Lunyungu

Lunyungu

JF-Expert Member
Joined Aug 7, 2006
8,842 96 145
Mimi bado nangoja Malecela atangaze kuachia jimbo lile maana yeye kafanya kama mali yake . Kingunge hulala Bungeni sawa na Malecela na wako wengi ambao nadhani is about hata Ubunge kuachia watu waendeleze Nchi yao .
 
green29

green29

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2007
Messages
312
Likes
33
Points
45
green29

green29

JF-Expert Member
Joined Jul 4, 2007
312 33 45
Finally, one of the longest serving politicians in the country Mr. Kingunge Ngombale Mwiru has retired from active politics. Mr. Kingunge has decided to retire on the eve of the announcement of the new cabinet by President Jakaya Kikwete following the dissolution of the previous cabinet due to Richmond scandal!

Yawezekana, ameona "alama za nyakati"!

so kuna nafasi moja mpya ya Ubunge wa kuteuliwa...
Mzee Mkjj, vipi Msolla na Mramba wao hawajasema chcohote kama wanakubali yaishe au wanasubiri radi ya umma!?
 
Forum statistics

Threads 1,238,671
Members 476,083
Posts 29,326,085