Kingunge Ngombale Mwiru: Rushwa, makundi, ubinafsi vinaimaliza CCM na taifa letu.

waliobahatika kuona TBC coverage kwenye taarifa hii, TBC waliripoti vipi, ama wametangaza tu kuwa Fulani bin Fulani amechaguliwa kwa kishindo kuwa mwenyekiti wa CCM (M) Pwani, uchaguzi uliobarikiwa na kada mahili wa CCM Kingunge Ngombare?
 
Akifungua mkutano wa uchaguzi wa CCM mkoa pwani amesema rushwa, uizi, ubinafsi na rushwa vinaitafuna CCM na Taifa kwa ujumla.

source:ITV


MBONA HASEMI UDINI na UMASIKINI ?


546265_437855902932844_831758691_n.jpg
 
KINGUNGE? MNAFIKI MKUU ni mtu pekee alieweza kumdanganya mwalimu na akaaminika, jizi fisadi, laghai, linalofanya watanzania wawe vibarua wa maisha wasipate kiinua mgongo, nani kaajiriwa parking sistim?, huyu alisitahili kupigwa mchi kichwani hadi kufa kama viongozi wengine waandamizi wa serikali ya ccma
 
Akifungua mkutano wa uchaguzi wa CCM mkoa pwani amesema rushwa, uizi, ubinafsi na rushwa vinaitafuna CCM na Taifa kwa ujumla.

source:ITV

Huu ni unafiki mtupu, amechukua hatua gani. Maneno tu! Kwanza na yeye ni kifisadi
 
Back
Top Bottom