Kingunge, Lissu na Lema kushusha gharika Kigoma na Tabora

Kazi imeanza. Zile chopa kumi zinaanza kazi ya maana nchi nzima. Kingunge atakuwa na vijana wake Lissu na Lema kushusha makombora mikoa ya Tabora na Kigoma na wilaya zake zote. Nyumba ya jirani sasa kuteketea kabisa.

Mikutani mikubwa ya hadhara ipatayo 40 kufanyika katika mikoa hiyo kwa siku 6. Baada ya hapo watashuka Dodoma na Iringa. Mbowe na Msigwa wanadondoka Lindi na Mtwara.

Then lowasa pambana na kanda ya ziwa then tarehe 24tumalize Na dsm tarehe 25kupiga kura tarehe 28 vaa suti yako twende taifa ukaape kuitumikia nchii hii tarehe 29 Na 30 shukuru wananchi Na tukale nyama kidogo monduli then tarehe moja Anza kuitumikia Tanzania mpya God bless you Pap's
 
Haya Yote YATAFANIKIWA Tu Endapo Zile PESA / HELA Zao CHAFU Zilizozuiliwa Nchini Kenya Na Ambazo Hadi Sasa UKAWA Wanahaha Kuzipitisha Lakini Wazee Wa KAZI Na Wa KITENGO Wa Tanzania WAMEKABA Kila Kona. Ukweli Ni Kwamba UKAWA Sasa Wako Very Bankrupt Na Hili HALIJIFICHI Kwani Wale Wafadhili Wao Wote Sasa WAMEGOMA Tena KUCHANGIA Baada Ya KUGUNDUA Kuwa Mtu Wao Lowassa HAUZIKI Tena Na Hata Akiwa Jukwaani Huwa HAZUNGUMZI Bali HUNONG'ONA Tu Kama Vile Yupo Na Mkewe Regina Bedroom. Wao Walikuwa Wanataka Hizo PESA / HELA Ziingie Ktk MZUNGUKO Ili Waanze KUWAHADAA Watu Wa MAENEO Ambayo Wanajua WANAIKUBALI CCM Sana Ili WAWAUZIE KADI Zao Zile Za KUPIGIA KURA Na WASIPIGE Huku Sehemu Nyingine Ya MSHIKO Ingeenda KURATIBU Mipango Ya KULETA FUJO Ktk Maeneo Mbalimbali PINDI Mgombea Wao Urais ASIPOSHINDA. Kwa Muda Huu Naomba Niishie Kwanza Na Haya ILA Nikizidi KUTIWA NDIMU Nitatiririka Na Mengine MSIYOYAJUA. Na Kama Kawaida Yangu Huwa SIBAHATISHI Ktk Yale Niyasemayo Kwani Huwa Na UHAKIKA Nayo 1000%. UKAWA Jipangeni Tena Labda Kwa Mwaka 2025 Na Kama Vyama Vyenu VITAKUWEPO Kwani Najua Mara Baada Tu Ya Uchaguzi Huu Kuisha Na Hatimaye Dr. Magufuli Kuwa Next President UKAWA ITAVUNJIKA, CHADEMA WATAANZA KUGOMBANA Na KUTIBUANA, CUF WATACHAPANA BAKORA WENYEWE KWA WENYEWE Kwani FUNGU Lile La Lowassa Kuna Ambao HAWAKUPEWA, Huku NCCR - Mageuzi WAKIFUKUZANA Na NLD Wakifa KIBUDU Kabisa.

Bila shaka wazee wa kitengo matako hayawaruhusu kukaa.kila kiti kina miba,maana kuna kila dalili ya upinzani kubeba kombe,wataenda kulima mbaazi.

El anawajua mbwa aliowinda nao kitambo kwa majina hawamsumbui.na mbele yake kila mbwa atachotama kwa adabu.
 
hahahaaa! kura yangu, mama, na wadogo zangu ambao walikuwa wapenzi Wa magufuli nimewashawishi wamekubali tarehe 25 kwenda kumpa kura Lowasa!!!!
 
Kazi imeanza. Zile chopa kumi zinaanza kazi ya maana nchi nzima. Kingunge atakuwa na vijana wake Lissu na Lema kushusha makombora mikoa ya Tabora na Kigoma na wilaya zake zote. Nyumba ya jirani sasa kuteketea kabisa.

Mikutani mikubwa ya hadhara ipatayo 40 kufanyika katika mikoa hiyo kwa siku 6. Baada ya hapo watashuka Dodoma na Iringa. Mbowe na Msigwa wanadondoka Lindi na Mtwara.

Na iwe hivyo. Kila la heri makamanda.
 
Mbona mmechelewa aisee au ndo 'taimingi' yenyewe?

mkuu wiki 2 ni nyingi sana kwa upepo wa kisiasa zinatosha kubadilisha matokeo

netanyahu alikuwa amezidiwa na wapinzani zimebaki siku 2 akapiga kampeni ya kuwatisha waisraeli kuwa isis wanashangilia mpinzani kushinda na kuwa waarabu wanajiandikisha kwa wingi kupiga kura ikawabadilisha mawazo waisraeli akashinda
 
Back
Top Bottom