Kingunge, Lissu na Lema kushusha gharika Kigoma na Tabora

Kazi imeanza. Zile chopa kumi zinaanza kazi ya maana nchi nzima. Kingunge atakuwa na vijana wake Lissu na Lema kushusha makombora mikoa ya Tabora na Kigoma na wilaya zake zote. Nyumba ya jirani sasa kuteketea kabisa.

Mikutani mikubwa ya hadhara ipatayo 40 kufanyika katika mikoa hiyo kwa siku 6. Baada ya hapo watashuka Dodoma na Iringa. Mbowe na Msigwa wanadondoka Lindi na Mtwara.

Haya Yote YATAFANIKIWA Tu Endapo Zile PESA / HELA Zao CHAFU Zilizozuiliwa Nchini Kenya Na Ambazo Hadi Sasa UKAWA Wanahaha Kuzipitisha Lakini Wazee Wa KAZI Na Wa KITENGO Wa Tanzania WAMEKABA Kila Kona. Ukweli Ni Kwamba UKAWA Sasa Wako Very Bankrupt Na Hili HALIJIFICHI Kwani Wale Wafadhili Wao Wote Sasa WAMEGOMA Tena KUCHANGIA Baada Ya KUGUNDUA Kuwa Mtu Wao Lowassa HAUZIKI Tena Na Hata Akiwa Jukwaani Huwa HAZUNGUMZI Bali HUNONG'ONA Tu Kama Vile Yupo Na Mkewe Regina Bedroom. Wao Walikuwa Wanataka Hizo PESA / HELA Ziingie Ktk MZUNGUKO Ili Waanze KUWAHADAA Watu Wa MAENEO Ambayo Wanajua WANAIKUBALI CCM Sana Ili WAWAUZIE KADI Zao Zile Za KUPIGIA KURA Na WASIPIGE Huku Sehemu Nyingine Ya MSHIKO Ingeenda KURATIBU Mipango Ya KULETA FUJO Ktk Maeneo Mbalimbali PINDI Mgombea Wao Urais ASIPOSHINDA. Kwa Muda Huu Naomba Niishie Kwanza Na Haya ILA Nikizidi KUTIWA NDIMU Nitatiririka Na Mengine MSIYOYAJUA. Na Kama Kawaida Yangu Huwa SIBAHATISHI Ktk Yale Niyasemayo Kwani Huwa Na UHAKIKA Nayo 1000%. UKAWA Jipangeni Tena Labda Kwa Mwaka 2025 Na Kama Vyama Vyenu VITAKUWEPO Kwani Najua Mara Baada Tu Ya Uchaguzi Huu Kuisha Na Hatimaye Dr. Magufuli Kuwa Next President UKAWA ITAVUNJIKA, CHADEMA WATAANZA KUGOMBANA Na KUTIBUANA, CUF WATACHAPANA BAKORA WENYEWE KWA WENYEWE Kwani FUNGU Lile La Lowassa Kuna Ambao HAWAKUPEWA, Huku NCCR - Mageuzi WAKIFUKUZANA Na NLD Wakifa KIBUDU Kabisa.
 
KUNGURU WA KINYARWANDA HANA UBAVU WA KUCHOKOZA WANA UKOMBOZI WA UKAWA"

****ukifugwa fugika zaidi ya bata lakini sahau kuwa MWEWE!
 
Hutaki weye sasa wakati walioshika mpini washachungulia kaburi wameanza kwa kuwaangukia walimu!! eti tutawalipa madeni yenu, tusaidieni tumpate Magu!!!!!!!!!!!!!!!
badilika Dogo; vinginevyo treni la VUGUVUGU ya MABADILIKO ndio hivyo tena ishamwaga vumbi; huwezi hata kuikamata bambari!! Hiloooo!!
Mabadilikooooooooooooo!!!!!!!!!!! Lowassa; Lowassaaaaaaaa!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! mabadiliko.
Peeeepooz!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

unaumwa wewe. nenda kwa manyaunyau na pepo zako
 
mtafilisika mwaka huu. Mafisadi wajue kabisa kuwa Rais Magufuli hatawapata nafasi ya kufyonza nchi,itabidi wauze assets kulipa madeni. Majizi yana roho ngumu. Rukeni tu na helikopta,ndege na ungo mtapiga salute kwa Dr Magufuli
 
CDM sasa hizi sifa ni wazi CCM imeishiwa pumzi sioni haja ya kuwamalizia kabisa kapumzi kadogo kaliko bakia.

CCM imebebwa na Magufuli tu. Ile timu ya watu 32 wa kumsaidia kampeni wamemkimbia.
 
Kazi imeanza. Zile chopa kumi zinaanza kazi ya maana nchi nzima. Kingunge atakuwa na vijana wake Lissu na Lema kushusha makombora mikoa ya Tabora na Kigoma na wilaya zake zote. Nyumba ya jirani sasa kuteketea kabisa.

Mikutani mikubwa ya hadhara ipatayo 40 kufanyika katika mikoa hiyo kwa siku 6. Baada ya hapo watashuka Dodoma na Iringa. Mbowe na Msigwa wanadondoka Lindi na Mtwara.

Waje na Lowasa kabisa, tumenunua pampasi za kutosha.
 
Kumkoma nyani giladi...Hakuna kumwangalia nyani usoni....

"Fyeka fyeka pori tulikamate joka hilo...Tutalikamata na kulitoa manyoya yake....Tutaponda kichwa chake na kumtia kwenye chungu....Tutamtosa kwenye mto Kagera uwe mwisho wa maisha yake....

Hilo Joka si lingie, bali ni CCM
 
Kazi imeanza. Zile chopa kumi zinaanza kazi ya maana nchi nzima. Kingunge atakuwa na vijana wake Lissu na Lema kushusha makombora mikoa ya Tabora na Kigoma na wilaya zake zote. Nyumba ya jirani sasa kuteketea kabisa.

Mikutani mikubwa ya hadhara ipatayo 40 kufanyika katika mikoa hiyo kwa siku 6. Baada ya hapo watashuka Dodoma na Iringa. Mbowe na Msigwa wanadondoka Lindi na Mtwara.
Kimenuka !
 
mtafilisika mwaka huu. Mafisadi wajue kabisa kuwa Rais Magufuli hatawapata nafasi ya kufyonza nchi,itabidi wauze assets kulipa madeni. Majizi yana roho ngumu. Rukeni tu na helikopta,ndege na ungo mtapiga salute kwa Dr Magufuli
Hivi bado kuna watu wanaamini magufuri atashinda ?
 
tunaomba ukawa anzeni mara moja. pia dada Halima aingizwe kwenye kikosi cha ardhini ili akawanadi wagombea ubunge wanawake.....
 
Haya Yote YATAFANIKIWA Tu Endapo Zile PESA / HELA Zao CHAFU Zilizozuiliwa Nchini Kenya Na Ambazo Hadi Sasa UKAWA Wanahaha Kuzipitisha Lakini Wazee Wa KAZI Na Wa KITENGO Wa Tanzania WAMEKABA Kila Kona. Ukweli Ni Kwamba UKAWA Sasa Wako Very Bankrupt Na Hili HALIJIFICHI Kwani Wale Wafadhili Wao Wote Sasa WAMEGOMA Tena KUCHANGIA Baada Ya KUGUNDUA Kuwa Mtu Wao Lowassa HAUZIKI Tena Na Hata Akiwa Jukwaani Huwa HAZUNGUMZI Bali HUNONG'ONA Tu Kama Vile Yupo Na Mkewe Regina Bedroom. Wao Walikuwa Wanataka Hizo PESA / HELA Ziingie Ktk MZUNGUKO Ili Waanze KUWAHADAA Watu Wa MAENEO Ambayo Wanajua WANAIKUBALI CCM Sana Ili WAWAUZIE KADI Zao Zile Za KUPIGIA KURA Na WASIPIGE Huku Sehemu Nyingine Ya MSHIKO Ingeenda KURATIBU Mipango Ya KULETA FUJO Ktk Maeneo Mbalimbali PINDI Mgombea Wao Urais ASIPOSHINDA. Kwa Muda Huu Naomba Niishie Kwanza Na Haya ILA Nikizidi KUTIWA NDIMU Nitatiririka Na Mengine MSIYOYAJUA. Na Kama Kawaida Yangu Huwa SIBAHATISHI Ktk Yale Niyasemayo Kwani Huwa Na UHAKIKA Nayo 1000%. UKAWA Jipangeni Tena Labda Kwa Mwaka 2025 Na Kama Vyama Vyenu VITAKUWEPO Kwani Najua Mara Baada Tu Ya Uchaguzi Huu Kuisha Na Hatimaye Dr. Magufuli Kuwa Next President UKAWA ITAVUNJIKA, CHADEMA WATAANZA KUGOMBANA Na KUTIBUANA, CUF WATACHAPANA BAKORA WENYEWE KWA WENYEWE Kwani FUNGU Lile La Lowassa Kuna Ambao HAWAKUPEWA, Huku NCCR - Mageuzi WAKIFUKUZANA Na NLD Wakifa KIBUDU Kabisa.

afadhali hata ukawa. maana ccm wanatumia kodi zetu na raslimali za serikali kujipigia kampeni......
 
Kazi imeanza. Zile chopa kumi zinaanza kazi ya maana nchi nzima. Kingunge atakuwa na vijana wake Lissu na Lema kushusha makombora mikoa ya Tabora na Kigoma na wilaya zake zote. Nyumba ya jirani sasa kuteketea kabisa.

Mikutani mikubwa ya hadhara ipatayo 40 kufanyika katika mikoa hiyo kwa siku 6. Baada ya hapo watashuka Dodoma na Iringa. Mbowe na Msigwa wanadondoka Lindi na Mtwara.

Safi sana, makamanda wawashe moto mwanzo mwisho.

Vp kuhusu live coverage ya TV na radio!?
 
mtafilisika mwaka huu. Mafisadi wajue kabisa kuwa Rais Magufuli hatawapata nafasi ya kufyonza nchi,itabidi wauze assets kulipa madeni. Majizi yana roho ngumu. Rukeni tu na helikopta,ndege na ungo mtapiga salute kwa Dr Magufuli

haa haa mkuu je atawakamua na wale mafisadi waliouza nyumba za serikali kwa bei ya kutupwa? na pia yule aliyewagawia bure vimada wake?
 
Back
Top Bottom