hiyo ya leo kwenye msiba wa kaka yake mbowe,picha inamiaka 2 hiyo.
swissme
Jana kwenye msiba wa Kanali Maximillan Aikaeli Mbowe kaka wa M/kiti wa chadema.picha inamiaka 2 hiyo.
swissme
kweli kabisa, kwenye siasa tunashindanisha hojaSiasa si ugomvi,ni ushindani wa hoja tu.
Siasa na kampeni zimeisha sasa wote ni wamoja tujenge nchi kwa pamoja hongera sana mzee wa pumzi.
Ahsante mkuu maana kuna watu walisema kuwa picha ina miaka 2 umeondoa utata ubalikiwekweli kabisa, kwenye siasa tunashindanisha hoja
Mm naona nibusara kuachana na mambo ya siasa kwenye habari za majonzi.Nibusara kama unayohoja mpya ukaianzisha na sio vinginevyoLowassa anazidi kukimbia watumbua majipu. Naona baada ya Kingunge kutubu majuzi katika kanisa la Katoliki, Dar es Salaam. Ameanza kuonekana katika jamii.
Mm naona nibusara kuachana na mambo ya siasa kwenye habari za majonzi.Nibusara kama unayohoja mpya ukaianzisha na sio vinginevyo
siasa sio uadui...
Kubenea anajua hilo !?siasa sio uadui...