Kingunge: CCM ni chama changu... hakiwezi kuwa kinyume changu!

Maana hapo sikuona connection ya kumuingiza lowassa kwenye historia ya kingunge kwa ufupi haikuwa necessary
Huwezi kumuongelea kingunge katika jambo nililozungumza bila kumgusa lowasa..maana lowasa ni kingunge na kingunge ni lowasa..labda kama hujapendezwa wewe..kisha we nani hata unizuie kuongea?? Nyie si kila siku mnaandaa programs mara UKUTA mkiwa na lengo la kutafuta demokrasia ya kuongea chochote au??
 
Sikupangii lolote ila sioni mantiki ya kuwa na hatred kiasi hicho na mtu ambaye hta hakufahamu wala humuwezi kwa lolote sidhani kma itakusaidia kitu..... We kila mada mpaka umtaje lowassa hata Avatar yako ni about lowassa hivi unafaidika?? Mwenzako alishakuwa waziri mkuu na anakubalika na watu zaidi ya million 6 according to NEC wewe unawatu wangapi nyuma yako???

Sometimes jifunze kuwa chuki hazisaidii maana mwisho wa siku hakujui wala humlishi humvishi badilika maana unakera sana kutwa kumtaja mwanaume mwenzako wakati hata ada ya watoto wako inakushinda waza mambo ya kukuondolea umaskini maana mwenzako katajirika miaka we kalia majungu tu
 
Nadhani na wewe una chuki juu yangu..maana umeanza kughusia masuala ya familia yangu wakati hunijui na Mimi sijazungumzia familia ya huyo ambaye wewe una mahaba nae..mi simchukii lowasa ila nachukia kile tulichoambiwa na chadema kwa miaka takribani nane juu ya lowasa.. Na si kweli namzungumzia kila sehemu..ila kama anafit kwenye mara namuweka tu..mbona nilichangia oparesheni sangara Tanzania nzima chini ya chadema kuzungumzia uozo wa lowasa..so ulitaka nikae kimya?
 
Sasa wewe pilipili kala mwingine wewe inakuwashia nini?
 
Kupenda sifa na kusifiwa bila sababu kuna gharama sana.
Kuna ntu anapenda sana sana sana sifa,analisha maneno,kila jambo anataka kwake liwe "kamilifu" as if yeye ni Malaika....Sikujua sababu za kumlisha maneno yule mzee
Mkuu heshima kwako.
Niliisikiliza clip fulani iliyoletwa humu ndani na nilihisi kama kuna maneno yamekatwa (edited)
Ila kwakuwa muhusika afya yake inaendelea vyema huenda siku moja akasema neno
 
Kupenda sifa na kusifiwa bila sababu kuna gharama sana.
Kuna ntu anapenda sana sana sana sifa,analisha maneno,kila jambo anataka kwake liwe "kamilifu" as if yeye ni Malaika....Sikujua sababu za kumlisha maneno yule mzee
Alivyomlisha maneno akaona Mzee Kingunge anaendelea kuongea ikabidi Banyamulenge akatishe maneno na kukimbia faster
 
Kupenda sifa na kusifiwa bila sababu kuna gharama sana.
Kuna ntu anapenda sana sana sana sifa,analisha maneno,kila jambo anataka kwake liwe "kamilifu" as if yeye ni Malaika....Sikujua sababu za kumlisha maneno yule mzee
Nimekuelewa mkuu ɓarafu.Heri ƴa mwaƙa mpƴa mkuu
 
Nadhani na wewe una chuki juu yangu..maana umeanza kughusia masuala ya familia yangu wakati hunijui na Mimi sijazungumzia familia ya huyo ambaye wewe una mahaba nae..mi simchukii lowasa ila nachukia kile tulichoambiwa na chadema kwa miaka takribani nane juu ya lowasa.. Na si kweli namzungumzia kila sehemu..ila kama anafit kwenye mara namuweka tu..mbona nilichangia oparesheni sangara Tanzania nzima chini ya chadema kuzungumzia uozo wa lowasa..so ulitaka nikae kimya?
Sasa ndio mpaka mada ya kingunge!!! Hivi ulikosa cha kucomment!!! Mbona hulalamiki aliyesema pesa sio za umma ila miaka 2 baadae tunaambiwa ni pesa ya umma?? Why lowassa??

Hivi lowassa na CCM nani aliyedumaza maendeleo ya nchi yetu??? Tufanye richmond ya lowassa vp kuhusu maufisadi ya CCM kuanzia almasi mpaka dhahabu ??? Kwanni usiziweke hizo maana zina impact kwa maisha yetu ya kila cku ilihali lowassa keshasepa serikalini na hayupo kwenye system???

Ina maana upinzani ulipigia kelele lowassa tu??? Vp katiba mpya?? Tume huru?? Vimeshapatikana au ww operation sangara ulikuwa unaskiliza habari za lowassa tu

Kma na ww ulikuwaga chadema basi tutasubiri sana kufikia mabadiliko ya kweli
 
Sasa wewe pilipili kala mwingine wewe inakuwashia nini?
Inaboa kila mada mpaka lowassa ni kma kuna mchadema mmoja hmu kila mada mpaka amuhusishe bashite inakera sana!!!

Badilikeni chuki haziwasaidii lolote utakufa hujafikia mafanikio ya lowassa hta robo we bakia majungu mwenzako anaingiza vijisenti kila sekunde
 
Wako bize wanatafuta airtime kenya, hawana time na mzee huyo.
Nadhani walienda wengi tu CDM bila kufanya publication na Media Coverage.. Rais wetu kama ujuavyo na naipenda style yake..popote anapoenda watanzania lazima wajue..very good.
 
Back
Top Bottom