Kingereza ni kigumu vyuoni na mashuleni lakini si kitandani bwana..!!

bluetooth23

JF-Expert Member
Apr 8, 2013
348
324
Sijui kwa nini jamani, yani uwapo kitandani kwenye mambo yetu ukishachanganyikiwa hasa dada zetu kiingereza ni kirahisi sana kwao na wanakichapa kwel kwel, ila wawapo mashuleni na vyuoni kwenye presentations pale mbele ni kigumu sana. Kitanda kna nin kwenye kiingereza hasa kwa dada zetu?
 
yawezkana kitanda ni mwalimu
 
Kingereza ni lugha kama lugha nyingine tu. Wakati wa asubuhi salamu ni, "Goodmorning", kwa kihehe ni, "Kamwene", n.k. Tatizo ni kua Kiingereza tumekihukumu kua ni lugha ya "majuu" au ya "watu weupe-wazungu" hivyo si rahisi kuijua na wanaoijua wakiitumia popote pale tunawabeza kwamba "wanajifanya" wazuungu! Lakini kwa anayetaka kukijua ni rahisi tu kuliko hata bei ya peremende. Lengo lako ni nini katika kujua lugha hii? Hilo ni swali la gharama kubwa sana, tafuta jibu lake kisha jifunze si tu Kiingereza bali hata Kichina, Kijerumani, Kichaga, Kiafrikaan, nk.
 
kuna mdada mwingine bwana ni mzungu fulani hivi wa alaska, basi amekaa serengeti pale kwa wiki mbili sasa (si unajua tena mambo ya tourism!!)

basi yeye siku hizi akilewa tu kilimanjaro mbili tatu, aah, anaongea kikurya mwanzo mwisho!!

pombe zikishaisha, anarudi kwenye american english!

dah, aisee yule mdada anannifurahishaga sana tu!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom