Kingereza kianze kutumika bungeni ili tuondokane na wabunge wa ccm

zomba na ritz hata humu watahama

Kiongozi wako Mbowe hajui kingereza anaongea kingereza cha kuungaunga (Kiswakinge).

Ebu niambia lini umesikia au umeuona Mbowe akifanya Interview na muandishi yeyote wa habari kwa lugha ya kingereza? Ukiniambia nijitoa JF.
 
ILI KUONDOKANA NA WABUNGE WENGI WA CCM KUTOKUJUA WANAPIGA MAKOFI OVYO BUNGE LIANZISHE HOJA KWA ENGLISH KWA MUDA WA MASAA MAWILI KWA SIKU ILI TUPATE WENYEVITI NA WATOA HOJA WATAKAOJIELEZA VIZURI KWA LUGHA HII NA KUEPUSHA VURUGU ZINAZOTOKANA NA WABUNGE WENGI WA CCM NA CUF KUTOCHANGIA CHOCHOTE ZAIDI YA KUZOMEA NA KUPIGA MAKOFI TU HAPA TUTAONA UMAHILI WA WABUNGE AMBAO WATAJADILI MAMBO KWA HOJA NA KUONDOA UKADA.NAOMBA KUTOA HOJA:israel:
Acha sifa wewe!unapotoa mada hapa ujue hata ndugu zako siyo wote wanaojua kiingereza,isitoshe wewe mwenyewe kiingereza hukijui sasa unataka uwe mtumwa wa lugha za kibwanyenye?
 
kama wagombea wa uongozi katika vilabu vya simba na yanga lazima wafike form 4, kwanini wabunge wasiwe hata na diploma au cheti?
 
Huku ni kuuendekeza ukoloni mamboleo, kwa maana wananchi tunao wakilishwa kwa wenye uhitaji wa kweli wa kupata msaada toka kwa wabunge wetu watusemee matatizo yetu mjengoni kwa 60% kingereza ni utata mtupu.
Sasa huoni kama watakua hawatutendei haki sie tusojua hiyo lugha ya Mashoga?
 
La msingi wawe na elimu,english siyo sababu,mtu anaweza akawa la saba na akaenda kozi za english na akaongea vizuri halafu kitu kile kile,english siyo kipimo cha kupima uelewa wa mtu
 
ILI KUONDOKANA NA WABUNGE WENGI WA CCM KUTOKUJUA WANAPIGA MAKOFI OVYO BUNGE LIANZISHE HOJA KWA ENGLISH KWA MUDA WA MASAA MAWILI KWA SIKU ILI TUPATE WENYEVITI NA WATOA HOJA WATAKAOJIELEZA VIZURI KWA LUGHA HII NA KUEPUSHA VURUGU ZINAZOTOKANA NA WABUNGE WENGI WA CCM NA CUF KUTOCHANGIA CHOCHOTE ZAIDI YA KUZOMEA NA KUPIGA MAKOFI TU HAPA TUTAONA UMAHILI WA WABUNGE AMBAO WATAJADILI MAMBO KWA HOJA NA KUONDOA UKADA.NAOMBA KUTOA HOJA:israel:

.. kwanini usiseme kiarabu maana ndio second official language Zanzibar na bunge la muungano au hujuwi? acha kuhodhi madaraka subiri mkipata Tanganyika yenu ndio ulete hoja za ukomavu.
 
​mbowe alipelekwa shule tangia akiwa mdogo mzee mbowe aliona umuhimu huo elimu anayo pesa anayo na si ya wizi kama nyie ccm

Back
Top Bottom