King'amuzi cha Digiteck mna tatizo gani?

lopinavir

Senior Member
Jul 11, 2015
186
121
Tangu tarehe 15/01/2016 channel zenu zimekuwa zikisumbua na hamjatoa taarifa yoyote.
-Channel nyingi zimekata,chache zilizopo zinasuasua,mara zionekane mara zipotee...
-Mseme kama mnahitaji zilipiwe,tulipie kuliko kufanya tuwaone kama wababsishaji....!!!
 
Nikweli bora watuambie tulipe ataa shilingi elfu kwa Mwaka.kuliko hii bure yenye mateso .Arusha hapa tabu tupu
 
Back
Top Bottom