King'amuzi cha contineto cha settelite

Realbest

JF-Expert Member
Aug 5, 2013
809
293
Msaada jaman naomba kujua, alyekitumia king'amuzi cha continetal, malipo yake kwa mwezi, na je watakua na local chanel za bure?
 
Msaada jaman naomba kujua, alyekitumia king'amuzi cha continetal, malipo yake kwa mwezi, na je watakua na local chanel za bure?

Navyosikia channel ziko bure kabisa emu ziangalie kwenye chat
Continental TVDVB-S230000-?
QPSK

East-West
F Orwa
140901

Star TV (Tanzania)
1 52 54 E
ITV (Tanzania)
2 68 70 E
EATV 5
3 84 86 E
Capital TV (Tanzania)
4 100 102 E
TBC 1
5 116 118 E/Sw
Channel Ten
6 132 134 E
Star Muzik
7 148 150 E
Citizen TV

9 180 182 E
DW

10 196 198 E
France 24 English

11 212 214 E
Clouds TV
12 228 230
VoA TV Africa
13 244 246 E
BBC World News Africa
14 260 262 E
CCTV 9 Documentary
15 276 278 E
Star E +
16 292 294 E
Hope Channel Africa
17 308 310 E
Emmanuel TV

18 324 326 E
Africa TV 2

19 340 342 Sw
Star Bunge TZ
20 356 358
Al Jazeera English

21 372 374 E
AIT Sports
22 388 390 E
Star Movies +
23 404 406 E
 
vp kwabaadaye si kunaweza kuwepo namalipo yoyote c eti mkuu?
 
Hakuna malipo hata hapo baadae, wewe nunua, popote tanzania unakamata
 
Bei ni 105,000/- bila dish. Ni ving'amuzi vipo vya dish na antena, vyod niko ktk mfumo wa HD, unakamata popote Tanzania
 
Okay ninalo la dstv si ninaweza nikafunga LNB nyingine na nikakamata channel za continental?

LNB hiyo hiyo ila tu unaliamisha ddirection kutoka nyuzi 36 masharki ambazo wanatumia dstv kuja nyuzi 17 mashariki katika satellite ya Amos 5 ambako wako hao continental
Hivo zaidi utamlipa fundi ya kubadilisha tu direcction kama hautofanya mwenyewe
 
Na je ukiwa nje Tanzania??(uganda ama kenya) kwa dish unapata ???
 
Na je ukiwa nje Tanzania??(uganda ama kenya) kwa dish unapata ???

Dish huwa ni mbwembwe tu...nunua dish lolote walau 3ft kisha tafuta kingamuzi chao
Ila kwa kua channel ni FTA basi hata kingamuzi cha FTA cha MPEG4 utazipata zote bila chonge maana hawajazifunga
 
Dish huwa ni mbwembwe tu...nunua dish lolote walau 3ft kisha tafuta kingamuzi chao
Ila kwa kua channel ni FTA basi hata kingamuzi cha FTA cha MPEG4 utazipata zote bila chonge maana hawajazifunga

Hivi, card ya aljazeera sports inauzwa bei gani? Nina king'amuzi cha abudhabi ila nimepoteza card ya aljazeera sports
 
Hivi, card ya aljazeera sports inauzwa bei gani? Nina king'amuzi cha abudhabi ila nimepoteza card ya aljazeera sports

Aljazeera sports sindo waliama huku kwetu waka Base MENA?
Nasikia Deecoder zao walianza kuzi pair na card hivo lazima ununue decoder huko uarabuni kisha ufanye registartion ambayo ni ku pair card na decoder
Sina hakika kama zile za zamani zinaweza kufanya

Subscrption yao ya mwaka mzima nasikia ni 100$ sina hakika kama wanakupa na decoder kwa hiyo bei

Njia rahisi kama kuna mtu/ndugu/jamaa huwa anaenda Dubai jaribu kumtumia huyo
 
Oooh sawa, nimekupata! Mie mwanzoni nilikuwa na hiyo card ya aljazeera, sasa nimebakiwa na card moja tu ya abudhabi... Maana hii decoder ni malaya, ina slots 2 pia inakubali hadi cards za dstv inasoma, pia na channels za free to air napata tu!
 
LNB hiyo hiyo ila tu unaliamisha ddirection kutoka nyuzi 36 masharki ambazo wanatumia dstv kuja nyuzi 17 mashariki katika satellite ya Amos 5 ambako wako hao continental
Hivo zaidi utamlipa fundi ya kubadilisha tu direcction kama hautofanya mwenyewe

Nataka nitumie dstv na continental kwa dish moja maana kuna baadhi ya chennel za dstv hao continental hawana au nikiamisha angle channel za dstv hazipotei?
 
Nataka nitumie dstv na continental kwa dish moja maana kuna baadhi ya chennel za dstv hao continental hawana au nikiamisha angle channel za dstv hazipotei?

Huwezi kutumia dish moja kwa ving'amuzi viwili. Maana kitendo cha kubadili angle tu utakuwa ume disturb hiyo ya dstv. Cha kufanya hapo lazima uwe na dish 2 na king,amuzi chenye kuweza kupokea cards zote mbili, then unkuwa na switch ya kupokea LNB signals mbili zote na ku combined kwenda ktk decoder hiyo... Unless uwe na ving'amuzi viwili na nyungo mbili... NJUNWA MFAFANULIE ZAID
 
Back
Top Bottom