Kingamuzi cha continental,ni majanga,arusha,(tcra) ingilieni kati,

PRINCE CROWN

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
5,211
4,170
Ndugu wana jf na wale wa tumiaji wa kingamuzi cha continental, arusha, ni miezi 3 sasa huduma ya matangazo ya continental, hatujui hatima yetu, tumekua tukipata matangazo kwa shida sana,picha zimekua na michirizi,hata ham ya kutazama hupati,tume lalamika, kwa uongozi wa startv grop, kila siku wanatuambia wanatengeneza,sasa tunajiuliza ni matengenezo gani kwa miezi 3???? Tunaomba, tcra itusaidie, tume teseka vya kutosha, kama hawawezi waturudishie pesa zetu.

CC: TCRA
 
Last edited by a moderator:
Swali kwa wale wa mikoa mingine, je! Tatizo kama hili nawao wanalipata????
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom