INAUZWA Kisimbuzi cha Canal Plus

Canal hawana ofisi sehemu yoyote hapa Tz na kisimbuzi chao hakijasajiriwa na mamlaka (TCRA) hapa Tz hivyo kinatumika tu kwa kuwa kipo nchi jiran za Rwanda, Burundi na DRC na mawasiliano yake yanafika Tz (wenyewe wataalam wanaita beam kitu kama vile)

Harafu lugha rasmi ya chanel za kisimbuzi hiki ni Kifaransa na hakina option ya kubadili lugha, pia kwa kuwa hakipo Tz (yaani hakijasajiriwa TCRA) malipo yake yapo kwa franca fedha hii inatumika DRC, Burundi na Rwanda hivyo ukitaka kulipia ni mpaka upate connection ya mtu wa nchi hizo kisha umtumie pesa akulipie akiwa huko, hapa kuna shida kidogo ikitokea kifurushi kimekata harafu unaemtumia kukununulia hapatikani at the moment

Ila kwa ujumla kisimbuzi kipo vizuri ukicompare pesa na idadi ya ligi wanazoonesha yaanikwa elfu 40 na kitu unatizama karibu ligi zote kubwa duniani, wakati Dstv kwa elfu 69 hata UEFA champions league huipati
 
umeelezea vzry sanaa mimi nipo Tanzania na burundi nawatu wang wakala wa kule nawasiliana naye mda wowote niwatoe hofu
 
Na haya ndio malipo yake
20210616_075923.jpg
 
Attachments

  • Screenshot_20210613-093748_WhatsApp.jpg
    Screenshot_20210613-093748_WhatsApp.jpg
    19.9 KB · Views: 100
  • Screenshot_20210613-093748_WhatsApp.jpg
    Screenshot_20210613-093748_WhatsApp.jpg
    19.9 KB · Views: 111
Mwenye uhitaji wa king'amuzi cha Canal plus anicheck
Bei full set ni Tsh.135,000
kununua kifurushi kwa mwezi Tsh.50,000
Kinaonesha League za
-UEFA
-UEROPA
-PRIMER LEAGUE
-BUNDASLIGA
-SPAIN LA LIGA
-ITALY
-FA CUP
Hiyo 135, 000 na dish lake? au ni decoder tu, na hizo ligi kwa msimu wa 2021/2022 wana haki ya matangazo?na kama nahitaji malipo yanafanyika baada au kabla ya kupata mzigo kwa watu wa dar?
 
Niliwahi kukaa nchi moja hivi wanatumia hiyo Canal+. Channel zote kifaransa isipokuwa moja tu ya mambo ya biashara ambayo ni ya Kiingereza! Baada ya mwaka nikapata DSTV ya magendo (ambayo haijasajiliwa ktk nchi hiyo). Sasa huyu mkuu anataka kufanya kitu hicho hicho kwa Mtanzania!
Canal hawana ofisi sehemu yoyote hapa Tz na kisimbuzi chao hakijasajiriwa na mamlaka (TCRA) hapa Tz hivyo kinatumika tu kwa kuwa kipo nchi jiran za Rwanda, Burundi na DRC na mawasiliano yake yanafika Tz (wenyewe wataalam wanaita beam kitu kama vile)

Harafu lugha rasmi ya chanel za kisimbuzi hiki ni Kifaransa na hakina option ya kubadili lugha, pia kwa kuwa hakipo Tz (yaani hakijasajiriwa TCRA) malipo yake yapo kwa franca fedha hii inatumika DRC, Burundi na Rwanda hivyo ukitaka kulipia ni mpaka upate connection ya mtu wa nchi hizo kisha umtumie pesa akulipie akiwa huko, hapa kuna shida kidogo ikitokea kifurushi kimekata harafu unaemtumia kukununulia hapatikani at the moment

Ila kwa ujumla kisimbuzi kipo vizuri ukicompare pesa na idadi ya ligi wanazoonesha yaanikwa elfu 40 na kitu unatizama karibu ligi zote kubwa duniani, wakati Dstv kwa elfu 69 hata UEFA champions league huipati
 
Hivi mkuu bei halisi, ya kununua decoder na malipo ya mwezi ili kuona mechi zote ni bei gani?kwani hata sielewi kila mtu ana bei zake!!na ukihoji sana mnakosana!!yaani inakuwa vita!!
bei ni decoder ni Tsh.135,000
malipo kwa mwezi ni Tsh.55,000 mechi zote hapo league zote kubwa duniani UEFA,EPL,BUNDASILIGA,ITALY,FRANCE LEAGUE,LA LIGA.
 
Canal hawana ofisi sehemu yoyote hapa Tz na kisimbuzi chao hakijasajiriwa na mamlaka (TCRA) hapa Tz hivyo kinatumika tu kwa kuwa kipo nchi jiran za Rwanda, Burundi na DRC na mawasiliano yake yanafika Tz (wenyewe wataalam wanaita beam kitu kama vile)

Harafu lugha rasmi ya chanel za kisimbuzi hiki ni Kifaransa na hakina option ya kubadili lugha, pia kwa kuwa hakipo Tz (yaani hakijasajiriwa TCRA) malipo yake yapo kwa franca fedha hii inatumika DRC, Burundi na Rwanda hivyo ukitaka kulipia ni mpaka upate connection ya mtu wa nchi hizo kisha umtumie pesa akulipie akiwa huko, hapa kuna shida kidogo ikitokea kifurushi kimekata harafu unaemtumia kukununulia hapatikani at the moment

Ila kwa ujumla kisimbuzi kipo vizuri ukicompare pesa na idadi ya ligi wanazoonesha yaanikwa elfu 40 na kitu unatizama karibu ligi zote kubwa duniani, wakati Dstv kwa elfu 69 hata UEFA champions league huipati
Haiwezekani kulupia kupitia website yao?
 
bei ni decoder ni Tsh.135,000
malipo kwa mwezi ni Tsh.55,000 mechi zote hapo league zote kubwa duniani UEFA,EPL,BUNDASILIGA,ITALY,FRANCE LEAGUE,LA LIGA.
Ina maana ni bila dish!! na mtu akikihitaji mfano nipo dar, nakipataje, je malipo ni kabla ya kupata mzigo au baada??hii ndio hatua muhimu sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom