King'amuzi cha bein sport kinauzwa

Gatekalii

JF-Expert Member
Nov 5, 2016
286
412
Bein sport king'amuzi
Kinawafaa zaidi wapenda soka
Bundle lake huuzwa dollar 100 za kimarekani kwa mwaka.
Bei ya king'amuzi nauza 250, 000. Bei haipungui.

Kipo dar
 
Bein sport king'amuzi
Kinawafaa zaidi wapenda soka
Bundle lake huuzwa dollar 100 za kimarekani kwa mwaka.
Bei ya king'amuzi nauza 250, 000. Bei haipungui.

Kipo dar

Mkuu zile channel za english bein 11 na 12 walishazirudisha??
 
Bein sport king'amuzi
Kinawafaa zaidi wapenda soka
Bundle lake huuzwa dollar 100 za kimarekani kwa mwaka.
Bei ya king'amuzi nauza 250, 000. Bei haipungui.

Kipo dar

Channel za zinazo onyesha EPL zilishapotea,hakina maana tena labda kwa ajiri zile channel zingine.
 
Kwahiyo hii decoder Bein Sports, haionyeshi tena Ligi ya Uingereza kama muuzaji anavyodai, au?
 
Bein sport king'amuzi
Kinawafaa zaidi wapenda soka
Bundle lake huuzwa dollar 100 za kimarekani kwa mwaka.
Bei ya king'amuzi nauza 250, 000. Bei haipu

Bein sport king'amuzi
Kinawafaa zaidi wapenda soka
Bundle lake huuzwa dollar 100 za kimarekani kwa mwaka.
Bei ya king'amuzi nauza 250, 000. Bei haipungui.

Kipo dar
Mkuu ulishakiuza tayari? au bado maana nakitaka
 
Back
Top Bottom