King'amuzi cha azamtv Zanzibar

PRINCEd

JF-Expert Member
Dec 14, 2015
845
573
Kuna taarifa ambazo hazijathibitishwa kuwa King'amuzi cha azamtv ukikinunua kutoka Zanzibar unapata local channelz kama TBC, clouds tv, StarTv, EATV, ITV na nyinginezo.....Mwenye kujua hili naomba atujulishee.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana ikawa kweli kwani hapa DAR ukinunua king'amuzi cha azamu kilichosajiriwa UGANDA, local channels zote unazipata.
 
Back
Top Bottom