King'amuzi cha Azam vipi leo?

BABA SANIAH

JF-Expert Member
Oct 20, 2013
4,492
5,689
Habari za muda huu

Wakuu, leo tangu asubuhi kila nikitaka kuangalia habari kwenye luninga yangu chanels hazisomi,nilidhani tatizo la muda,nimekwenda kwenye mihangaiko yangu,nimerudi bado, hamna kitu,sasa ni mimi tu au na wengine?

Tujuzane mwenye ufahamu zaidi.
 
Kwangu mpaka jana saa saba usiku nakwenda lala ilikua poa sana,longolongo imeanza leo mkuu
 
walau ulitakiwa kusema uko wapi!!kuna vitu 2: dishi linaweza kuwa limecheza..kitu cha kawaida hasa kipind hiki cha kipupwe km muwekaji hakulikaza kitu kingne inaweza kuwa muda ule wa wiki 3 umeisha wa kuona local channels baada ya kuisha kifurushi chako...km vyote hakuna emu ongea na watoa huduma kwa namba hii -0784 108 000‬
 
Siku hizi local chanels hazilipiwi! kifurushi kikiisha zenyewe bado zinapeta kama startimes!
 
Picha inakuja then inakatakata,nipo kitunda kati dar.
Jana mimelipia kifurushi cha 10,000
 
Piga sasa hivi AZAM TV kwa namba 0784-108000 kabla ua saa 11 jioni
yupo Dada anakusubiri
mtajie namba yako ya malipo (hiyi kadi ya Azam Tv)
 
Hello Wadau!
Nipo Tabata, King'amuzi cha Startimes, tangu asubuhi, channel tatu tu za STARTV, ITV na EATV, hazionyeshi. Ila local channel zote zinaonekana. Kuna aliyekumbana na hili? Ama kama kuna mtu anatazama habari muda huu na anazipata hizo channel?! Mnijuze plz!
N:B
Nimezima na kuwasha zaidi ya mara mbili, na ku-search automatic, ila bado tu.
 
Angalia dish lako hasa kwenye nyaya,za Ndani,upande wa Dikoda na TV.
Maana kama sehem ya TV table haina utulivu zile nyanya kuna kupindi zinakuwa loose.
Issue ni Nyaya tu hapo mkuu
 
Back
Top Bottom