King'amuzi cha Azam kushindwa kufanya kazi vizuri wakati wingu na mvua

Ntozi

JF-Expert Member
Feb 1, 2021
226
299
King'amuzi cha Azam TV mnafeli Wakati wa mawingu. Sijafuatilia kuhusu vinang'amuzi vingine kipindi cha Mawingu na mvua inakuweje.Lakini Azam TV pamoja na kuwa na vipindi vizuri lakini hiyo kero ya scratching imezidi Sana.
 
Ving'amuzi vyote vinavyotumia satelite huwa kwenye mvua na mawingu mazito vinakwama kwama. Hii husababishwa na dish kushindwa kuona satelite kutokana na kikwazo cha mawingu/mvua......

Solution ya haraka ni kutumia cha antenna maana yenyewe inafanya mawasiliano na minara tu hapa hapa chini....

In telecom fading ni moja ya kikwazo kikuu...

Sometime inatakiwa kuongeza transmitted power ili kupambana na hili. But is it possible?
 
Asante sana kwa maelezo ya kitaalamu.
 
Startimes wanajitahidi katika hili.
 
Asante sana kwa maelezo ya kitaalamu.
Pia size ya dish pia huwa inachangia hili jambo.

Mfano ukitumia dish dogo ni tofauti wanaotumia madish makubwa na LNB kubwa....

1. Diameter ya dish ni kubwa hivyo kuwa rahisi kudaka mawimbi.

2. LNB inaweza kuwa ile kubwa so inakua more powerfull.....
 
Good, thanks
 
Hivi dish kubwa nikielekeza usawa huo unaolekezwa dish hizi ndogo kama azam au startime nikafungia lnb yao haiwezi kudaka mawimbi yao?Nauliza tu.
 
Guys kama kuna mtu anahitaji king'amuzi complete/full kit cha AZAM cha DISH ambacho ni kipya kabisa hakijamaliza hata mwezi na kimeshalipiwa chaneli zote kwa miezi mitatu. naomba anicheki DM tufanye biashara, kinapatikana kwa 165k (non-negotiable price)
 
Au kama kuna mtu ana king'amuzi cha DISH cha STARTIMES aje tubadilishane nimpe cha DISH cha AZAM but ataniongeza 60k ( NOTE: kingamuzi changu cha AZAM bado kipya hakijamaliza hata mwezi toka kinunuliwe na tayari kimeshalipiwa kwa muda wa miezi mitatu kwa chaneli zote )
 
unapatikana wapi mkuu, lakini pia ningependa kujua ni nini hasa kimekusibu?
 
Back
Top Bottom