King'amuzi cha Azam bila dishi kinauzwa

CEYLON

JF-Expert Member
Dec 3, 2012
282
101
nawasiisha,pm au piga 0656730810.
sababu ya kuuza:nimenunua dstv.Nipo dar
 
Nina dishi la DStv, inawezekana likasupport receicer ya Azam!? Kama iko possible nitakutafuta mkuu tuongee biashara maana naona hili poromoko la Shilingi dhidi ya dola linafanya uendeshaji wa Dstv kuwa mgumu.
Mechi za EPL tutaenda Bar na mabanda umiza tu.
 
Hiki ndio kizazi cha Kitanzania.

Asipotoa bei we nenda na Tsh:99,000 ukanunua Full set,Dish na Dekoda mpyaaa kwa jina lako.

Maana anazingua watu huyu

Na pia Mtambue kwamba AZAM Dekoda zipo kwenye Teknolojia ya hali ya juu sana kuliko hata vya Dstv.
Sasa ujue ukinunua utafute Dish litaloendana na specifications zake,la sivyo itakula kwako.
 
Nawaona waarabu wa pemba mnajuana kwa vilemba.dekoda ya azam ipo juu ya dstv? Fafanua mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom