Kingamuzi bora ni kipi? DSTV, AZAM, STAR TIMES, ZUKU

Azam!

Huko utapata kuona mechi zote za NPL (NBC Premier League) zikiwemo za Simba na Yanga,

Utapata channel za biashara kama Bloomberg,

Channel za habari kama BBC, CNN,

Channel za movies mfano Kicks,

Channel za burudani kama WASAFI , Clouds, MTV, ETV ,

Michezo utapata kuona ligi kuu ya Ujerumani, Carabao, ndodi za akina Twaha , mieleka nk.

Uzuri wa Azam ni kuwa sehemu ya mapato yao wanairudisha kwa jamii kwa kununua haki za matangazo ya mpira kupitia luninga, nk.

JamiiForums mobile app
 
Ukiachana na VPL,Azam hakuna cha maana,mwonekano wa picha zake ni mbaya sijawaji ona 🤣 🤣 .Sasa hii habari ya kurudisha mapato kwa jamii inamsaidia nini mteja anayetaka ubora wa vipindi?
 
Back
Top Bottom