Kinga kwa Rais aliyeko madarakani na wastaafu ni kichocheo cha uvunjaji haki, Iangaliwe upya

ukweli ni kwamba, kila apandacho mtu ndicho atakachovuna. kuna wakati wa kupanda na wakati wa kuvuna, yawapasa kila mhusika kuanzia viongozi wa dini na serikali wawe makini wakijua they are not imune kushitakiwa either ICC au kwa zile nchi zingine hata mahakama za ndani. (ukiondoa tz).
 
akili ndogo hiii. hapa tunaongelea rais kushtakiwa sio maana anakinga ya rais hao ulio wataja wewe hata leo waweza kwenda kuwashtaki hawana kinga popote kana una ushahidi nenda acha uzwazwa.
Mtu akiwa na ushahidi apeleke badala ya kupayuka na kutaja majina ya watu.Nakubaliana nawe.
 
Inatia moyo.
Ila kwa nchi za ukanda wa Africa Mashariki ni Muujiza na ndoto.
Mafanikio ya mtu yeyote maishani huanza kwa kuwa na NDOTO zake.
Mfano akissema na kuamua kuwa sutaki umaskni na akajikita kwenye shughuli ya maana lazima NDOTO zake zitatimia.
NINAOTA watu kushitakiwa. Naota ndoto.
Na kuota si vibaya.
 
ukweli ni kwamba, kila apandacho mtu ndicho atakachovuna. kuna wakati wa kupanda na wakati wa kuvuna, yawapasa kila mhusika kuanzia viongozi wa dini na serikali wawe makini wakijua they are not imune kushitakiwa either ICC au kwa zile nchi zingine hata mahakama za ndani. (ukiondoa tz).
Wote tu. Wawe na maadili mema.
 
unakurupuka usiyo yajuwa uyo Lula da silva ni miongoni mwa ma rais wema ambao hawajawahi kutokea yote ayo ni siasa wanatama wampoteze mana wanajuwa atarudi kuwa raisi.
 
View attachment 737179
Rais wa zamani wa A/Kusini Jacob Zuma akiwa kizimbani.
View attachment 737185
Rais wa zamani wa Brazil Lila De Silva akiwa kizimbani.
View attachment 737187
Rais wa zamani wa Korea Kusini, Park alipokuwa akipelekwa Mahakamani.

Kumekuwa na wimbi jipya sana linaloendelea duniani la kushitakiwa viongozi wa nchi na WASHIRIKA wao pinde anapoachia madaraka hasa kutokana na UFISADI.

1.Tumeona rais wa zamani wa Afrika Kusini akiwa kizimbani kwa makosa ya UFISADI baadhi ya mashataka ni MANUNUZI ya SILAHA miaka ya 90. !!!!
Huku mshirika wake MKUU GUPTA ambaye ndiye aliyekuwa akimsaidia Zuma yuko matatani.
anatafutwa.

2.Rais Lule de Silva wa Brazil KUFUNGWA miaka 12 gerezani baada ya kuwa rais kwa miongo miwili katika utawala wake kwa kosa la UFISADI na kutumia madaraka yake KUJITAJIRISHA na kupokea RUSHWA!.

3.Rais wa zamani na wa kwanza mwanamke wa KOREA KUSINI Ms Park kahukumiwa kutumikia kifungo cha miaka 24 gerezani, na kuilipa serikali Dollar za Kimarekani millioni 24.
MSAIDIZI wake aliyekuwa AKITENGENEZA DILI zake miaka nafikiri 10

Wakati vuguvuvugu la vyama vingi lilipoanza lilianza hivi hivi tu baadaye likapokelewa na Afrika na Tanzania kwa ujumla. "You cannot resist an idea whose time has come"./Huwezi kuzuia NIA/WAZO ambalo wakati wake umefika!

TUPENDE , TUSIPENDE siku moja litatokea Tanzania. Hamna huruma kwa watu walio ila Tanzania na kuwafanya Watanzania wengine kama second class Citizens and destitute/Maskini wa kutupwana watu wa daraja la pili

Wakati wengine WANAKULA na KUSAZA na KUENDESHA MAGARI yanyaozidi mishahara yao.Majumba mabayo hawawezi kuelezea WALIYAPATA namana gani.

Nasema hivi kwa sababu. Kwa nini Rais Magufuli kwa Muda mfupi wa kipindi cha MIAKA 2 NA NUSU tu ameweza KUFANYA mambo MAKUBWA sana. Kwani VIONGOZI waliomtangulia HAWAKUYAONA?????

Let's call a Spade a Spade/Acha tuite kama ni Koleo ni Koleo na si KIJIKO.
UKWELI ni lazima USEMWE.
Within miaka miwili na nusu. Ndege ndo hizo na zingine zinakuja. Elimu bure, KUDHIBITI Madini yetu. SGR sijui nini Mambo meengi sana mzee kafanya.
Tumpongeze.

Hata haya ya jana aliyoyafanya ya kujenga na kufungua UKUTA MERARANI liliokuwa ni NDOTO kwa wengine. alifanya hivyo ili KUNUFAISHA Watanzania WASIENDELEE KUIBIWA raslmali zao. Kweli MAGUFULI ANASTAHILI PONGEZI sana sana.

Pamoja na mapungufu yake ambayo tunajaribu kumshauri kila wakati kupitia mitandao ya jamii. Maana naye ni binadamu SI Malaika.
Lakini ukweli AISEE Mzee AMEFANYA KAZI zinazoonekana

Kama tukiweka kwenya MIZANI nafikiri UZITO wa MAZURI ota ushinda MAPUNGUFU yake.

Hata katika maoni yangu si kwamba kila kitu huwa ninakubaliana naye, kuna wakati nakosoa na kutoa ushauri. Ili mtu asiseme bla bla sijui nini!

Maana hata KATIKA FAMILIA yeyoteile mtu na NDUGU yake si LAZIMA wakubaliane kimawazo wakati mwingine hutofautiana sana.

Hata hivyo hubaki kuwa wao ni ndugu mwishowe HUELEWANA na maisha yanaendelea.
Na hiyo ndo tabia ya kibinadamu.

POINTI yangu kuu ni kuwa naamni SIKU MOJA WATU fulani watakuja kujibu KWA NINI waliifilisisha Tanzania katika UFISADI.

Niaamini. itafika mahali CHAMA cha CCM na WABUNGE wa vyama vingine kwa PAMOJA wataungana ili kukiondoa KIFUNGU cha IMMUNITY ya kutokushtakiwa kwa {sic}

Hata kama si huyu Rais Magufuli SASA basi rais atakayekuja siku zijazo huenda akawa na MAONO na UCHUNGU kama wa Magufuli wa NCHI na WANANCHI wake ATAKUWA na UJASIRI na kuwapeleka MAHAKAMANI viongozi MAFISADI bila huruma.
Mkuu, kwenye hiyo miradi mikubwa,UPIGAJI wa kutisha huweza kupitiamo
. Watch out!!!!
 
Kati ya maraisi waliotawala Brazil, Da Silver ni kati ya waliofanya makubwa kwa wananchi wake hasa sera za kukuza uchumi kupitia zao la kahawa. Pomoja na hayo,pia alikuwa mpigaji na anatakiwa kutumikia kifungo cha miaka 12
 
Mmh, mimi siamini kama tutafanikiwa ikiwa hatutaki uwazi na kufinya demokrasia. Tutaishia kuaminishwa na viongozi nasi kuitikia ndio maana watawala hawako tayari kusikia hoja kinzani. Itakuwa hivi; vyombo vyote vitacheza wimbo wa watawala nasi tutakuwa tunaitikia NDIYO MZEE na wale wasioweza kusema ndio watakuwa wanatoroka na kuishia kuwa wahamiaji haramu kama wafanyavyo wenzetu wa Ethiopia na Eritrea.
Mkuu nakuelewa sana. Katika mtazamo wangu juu ya Magufuli na tabia yake {Demeanour} ni kuwa alipoingia Madarakani alikuwa a athma ya KUJENGA nchi hii.

Na alikuwa na UCHUNGU mwingi sana kuona watu wakiishi katika shida na nchi ikiwa IMEBARIKIWA na raslimali zote za kila aina.

Uchungu huo ninaweza kuuita UCHUNGU MZURI wenye NIA njema.
Sasa katika uchungu huo MZURI HAKUTAKA DISTRACTION/ kuelekezwa kando na malengo YAKE.
Yaani aanze mambo YASIYO MUHIMU yama SIASA siasa ambayo kwake yeye aliona ndo sababu KUBWA zilizoifanya nchi HIIKUBAKI nyuma.

Ndo tamko kama hilo kwa wanasiasa AKAWAUSIA JAMANI ngojeni.

UKIANGALIA kwa makini alikuwa na POINTI.
Imagine baada ya uchaguzi wananchi waanze tena kuuziwa sera mbali mbali za mavyama hata KABLA ya miaka 5 haijafika.
Huku akifikiria kuwa amewaahidi Watanzania HAPA KAZI TU.
Akaona siasa kando TUJENGE
[
 
unakurupuka usiyo yajuwa uyo Lula da silva ni miongoni mwa ma rais wema ambao hawajawahi kutokea yote ayo ni siasa wanatama wampoteze mana wanajuwa atarudi kuwa raisi.
Huo ni mtazamo wako. FISADI ni FISADI tu mkuu. Usimteee.
 
Mkuu hapo umekosea. Heshima si utumwa. Ni vizuri tuiheshimu taasisi ya URAISI hata kama hukubalini naye.
Ni MTANZANIA mwenzetu na wala si hivyo usemavyo.
Tujadili hoja badala ya matusi na kubezana. Ama vipi mkuu?
Si lazima awe mhutu kweli lakini matendo yanaweza kuwa ya kuhutu. Hakuna huruma kwa watu na utu, mbaguzi etc. Hiyo ni satire
 
Wahutu mkuu chige2 ni watu ambao wanaamini ktk wao tu na hata siku moja usijaribu kuwakosoa.
They don't bring their people together to lead the nation rather control the country with ethnic or a small group..

Ni tabia hatari sana kutotambua kwamba taifa lazima linakuwa na mchanganyiko wa watu na tabia.
Aina yao ya uongozi huishia kuigawa nchi mapande mapande.
Hata uhesabu mazuri yao lazima yote utakuta ni "material things".
Naomba niishie hapo ..
Mkuu anthropologically WAHUTU, WATUSI, na WA /TWA wote niwa watu wazuri sana. Nimekuwa Burundi na hata Rwanda pia.

Tatizo tu ni kuwa WAKOLONI ndo waliowapandikiza chuki miongoni mwao.
Wengine wakawafanya Mabwana na wengine Watwana. La sivyo ni watu WAZURI sana hayo makabila MATATU maana wote ni BANTU

Jambo jingine nililoliangalia zaidi ni kuwa wote WANA KIBURI sana na WENGI na WANAPENDA POMBE sana. na starehe.
Magufuli ni MSUKUMA HANA hata CHEMBE ya KIBURI cha hao uliowataja WARUNDI ama Wanyarwanda.
Kwa hiyo kumfanaisha na hao jamaa ni kumwonea kabisa.
I stand to be corrected though.
 
nilikuwa sijui kama magufuli ni msukuma, hivi chato ni wasukuma?bukoba pale kwa babu yake etc, kila mtu anaongea la kwake. ila mamake ndio msukuma. najua magufuli ni mtz lakini kabila huwa sielewi kama msubi, msukuma au mhaya. by the way kabila halina faida kwangu.
 
Si lazima awe mhutu kweli lakini matendo yanaweza kuwa ya kuhutu. Hakuna huruma kwa watu na utu, mbaguzi etc. Hiyo ni satire
Mbona mnasema WAHUTU na si WATUSI?
Who is better better between these two groups?
Your narrative on President Magufuli is totally WRONG.

Kwanza inaonyesha prejudice against HUTUS.
Kwa nini hukumfananisha na WATUSI?

Are TUTSIS more NOBLE than HUTUS???????

I am sorry sir you are being UNFAIR to HUTUS.
Ni binadamu kama wengine.
Pengine tusememe tu kuwa HARSH treatment walizopata kwa miaka mingi wakawa more defensive.
 
nilikuwa sijui kama magufuli ni msukuma, hivi chato ni wasukuma?bukoba pale kwa babu yake etc, kila mtu anaongea la kwake. ila mamake ndio msukuma. najua magufuli ni mtz lakini kabila huwa sielewi kama msubi, msukuma au mhaya. by the way kabila halina faida kwangu.
In SIMPLE TERM yeye ni MCHANGANYIKO kama vile wengi wa Watanzania tulivyo.

Mimi ni mchanganyiko wa kabila 5 ila Najitambulisha kwa kabila ambalo nilijikuta nimezaliwa humo.
Hivyo huwezi kuniita mimi si kabila hilo.
Sijui eti nianze kutafuta DNA ya Babu wa babu na Bibi wa mama yangu.
Huo si uungwana.
Anaweza akawa na upingifu wake kulingana na TEMPERAMENT alizozaliwa nazo.
Maana kila mtu ana zake. Mimi zangu nimchanganyiko .
 
Mkuu anthropologically WAHUTU, WATUSI, na WA /TWA wote niwa watu wazuri sana. Nimekuwa Burundi na hata Rwanda pia.

Tatizo tu ni kuwa WAKOLONI ndo waliowapandikiza chuki miongoni mwao.
Wengine wakawafanya Mabwana na wengine Watwana. La sivyo ni watu WAZURI sana hayo makabila MATATU maana wote ni BANTU

Jambo jingine nililoliangalia zaidi ni kuwa wote WANA KIBURI sana na WENGI na WANAPENDA POMBE sana. na starehe.
Magufuli ni MSUKUMA HANA hata CHEMBE ya KIBURI cha hao uliowataja WARUNDI ama Wanyarwanda.
Kwa hiyo kumfanaisha na hao jamaa ni kumwonea kabisa.
I stand to be corrected though.
Nashukuru unaelewa historia ya hao WAHUTU ila nikwambie kuwa ile ya "wa kimara wabomolewe" na "hawa wa mwanza itumike human face wasibomolewe" ni tabia ya kibaguzi na kamwe sio ya kisukuma.
Mimi nimekaa pia na wasukuma tangu udogo wangu.
Bado nashawishika ndg Tz tuna tatizo kubwa sasa kwa huyu rais ..

Ni swala la muda tu na wewe utanielewa.
Saivi huwezi kuelewa sababu bado una matumaini flani.
 
Back
Top Bottom