Kinga dhidi ya wachawi

Tony Yeyo

JF-Expert Member
Mar 10, 2014
723
544
Wakuu....Leo wakat nipo kijiweni ..kuna mwana kijiwe aka sema kuna mti ambao ukiwa na kipande chake basi ni kinga kubwa zidi ya wachawi yan mchaw hakugusi kabisa ...mwana kijiwe huyo yeye alisema kapewa icho kipande cha mti na babu yake ila ndo hajui unaitwaje....je wakuu kuna ukweli kwenye hilo? Na kama kweli je uo mti una itwaje
cc:mshana jr
 
Kinga ya uchawi ni kutojihusisha na shiriki zote madawa,mambo ya waganga nk sababu ukijihusisha nayo shiriki unajisogeza na inakuwa rahisi kudhurika na nguvu za kichawi kupenya kwako.
 
Ni Mti wa MLONGE....Kata kipande, chimbia mwanzoni mwa Mlango wako wa kuingia CHUMBANI... Kama mambo yako ni mazuri...Kama choka mbaya, haito kusaidia kwani utabaki kuamini WANGA hawachezi mbali na wewe.
 
Kuna baba wa Kimakonde alitusimulia; "nyinyi vijana wa sikuhizi ndoa zenu hazikumu kwasababu hamzikabidhi kwenye miti, kila mti hapa duniani una sababu yake. Kabla hujaoa au kuolewa unakwenda kwa mtaalamu, anakupeleka kwenye mti wa ndoa huko porini, unauambia, mti ulivyosimama na ndoa yangu isimame bila kuyumba"

Nilijionea makubwa, badala ya kumuomba Mungu aliye hai unaenda kuuomba mti uliombwa na Mungu.
 
Muulize huyo baba "Na p3nis ni mti pia tukiukabidhi mti huu ndoa itafaa?"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom