Tony Yeyo
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 723
- 544
Wakuu....Leo wakat nipo kijiweni ..kuna mwana kijiwe aka sema kuna mti ambao ukiwa na kipande chake basi ni kinga kubwa zidi ya wachawi yan mchaw hakugusi kabisa ...mwana kijiwe huyo yeye alisema kapewa icho kipande cha mti na babu yake ila ndo hajui unaitwaje....je wakuu kuna ukweli kwenye hilo? Na kama kweli je uo mti una itwaje
cc:mshana jr
cc:mshana jr