Duh!Umeiona? Abood kapata mpinzani View attachment 1228197
Zile za kuzawadia ama...Mi nikajua ni yale malori ya mchanga kumbe ni zile gari alizosema Muheshimiwa.
Hizo hizo mdogo wangu ambazo Me wengi mnawazawadia Ke.Zile za kuzawadia ama...
Hizo hizo mdogo wangu ambazo Me wengi mnawazawadia Ke.
Tena kwa kiwango cha chini kabisa hapo
Usingekua na lile ningekununulia hili Wallah kama alvyoshauri Mheshimiwa😎😎😎Mi nikajua ni yale malori ya mchanga kumbe ni zile gari alizosema Muheshimiwa. 😀
Daah! Kwa kuwa unahusikaga na mafuta ya kila Wiki inatosha tu Baba.Usingekua na lile ningekununulia hili Wallah kama alvyoshauri Mheshimiwa😎😎😎
Lakini mimi wala simwagi mboga Shadeeya mamiiDaah! Kwa kuwa unahusikaga na mafuta ya kila Wiki inatosha tu Baba.
Tooba. #nimemwagaugalitehteh.
Za kuhongea watu mitaaniZile za kuzawadia ama...