Richard irakunda
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 3,660
- 4,383
sawa luten jeneral BasheerHakuna haja ya kujua silaha zinakaa wapi wakati uwezo wa kuvamia na kumiliki nchi yote ya Rwanda tunao
sawa luten jeneral BasheerHakuna haja ya kujua silaha zinakaa wapi wakati uwezo wa kuvamia na kumiliki nchi yote ya Rwanda tunao
sawa sawa mtabiri mzee tambitambiJinalako linaonyesha wewe ni mtusi tena wa roho mbaya
Kwa hiyo unataka kusema Rwanda ina uchumi mkubwa kuliko Tz.hili swala usilichukulie simple MI ya jw ni ya hovyo saana toka zamani
mfano eneo aliloteka idd amin kwa dk 25 jw walitumia wiki kama sita kulikomboa
uchumi ni muhimu nyie ni majirani
tz ilikuwa inakuwa kwa kasi kabla ya vita ya kagera vita hyo haikuwa na sababu ya maana zaidi ya ubabe wa kijamaa wa mwalimu ndiye aliyeanzisha chokochoko
vita iliwasababishia hasara ya matrilion kisa akili finyu ya majasusi wenu
kwanini msingesapoti waasi tu ?
chaguo lenu alikuwa ni kichwa maji obote ila mkauzuga mseven ndomaana baada ya kuiteka nchi kuna briged ilichapana na mseven
vita ile mlishinda coz raia wa uganda walikuwa upande wenu mlikuwa mkitegewa ambush wanawaambia that why maeneo ya porini mlikuwa mnachakazwa vibaya
Kam vita sio simple kwa nn iwe simple kwa Rwanda kuipiga Tanzania yenye misingi imara kuliko Rwanda.pia lazima ujue hii nchi haikuota kama uyoga ni nchi iyo undwa kwa makafala na damu za watu.mwambie pk aache kuota Tz sio Burundi wala Rwanda.na ikitoke ntakuwa mstari wa mbele kuja kubaka dada zenupk anamaadui pande zote lkn vita yake sio simple kivile maana kapo vzr kiasi chake
wap nimeandika mnazidiwa uchumi?Kwa hiyo unataka kusema Rwanda ina uchumi mkubwa kuliko Tz.
Golila war zote mlipoteza na labda ndio sababu kila siku ADF wanawatwangaAcha utani mkuu unataka kusema tulipigana golila war.
misingi imara ni nini?KKam vita sio simple kwa nn iwe simple kwa Rwanda kuipiga Tanzania yenye misingi imara kuliko Rwanda.pia lazima ujue hii nchi haikuota kama uyoga ni nchi iyo undwa kwa makafala na damu za watu.mwambie pk aache kuota Tz sio Burundi wala Rwanda.na ikitoke ntakuwa mstari wa mbele kuja kubaka dada zenu
Endelea kuota mchana kweupeJeshi la JWTZ nilakizamani zaidi !!!
Vita sio ukubwa wa nchi mkuu. Vita ni mbinu sikuhizi
Sijui nani alimsanua kwenye mvutano wake na JK maana tayari vifaa na mitambo mizito ya kivita ilikua imeshasogezwa Benako ikisubir amri yai Amiri jeshi mkuu. Wenyeji wa Ngara tunajua kilichokua kinaendelea. Kwa mitambo na vifaa vilivyokua Benako, tulikua tunaingia Kigali muda wa breakfast
Wewe ni mshabiki wa vita au mtaalamu wa jeshi?mwakibolwa alifanya nini
unafki wa wacongo kivip akati camp ipo porini kbs
back ilikuta tayari wameshaondoka
na kwanini south aligoma kupeleka bac up on time?
sema tu mjipe moyo kuwa askari walionesha uwezo wa kimedani kias fran
Kwa Tanzania ni mtu mdogo sana huyu. Sasa inakuwaje awe king of east Africa. TZ ikikooa tu basi yeye kushneiKipindi kile analeta chokochoko na Tz (wakati wa JK) nilipatwa na hasira naye huyu jamaa.
Nilienda kwenye page yake ya FB nikamwandikia ujumbe ambao sijui kama aliusoma. Na kama aliusoma basi huwenda ndiyo ulimfanya anyong'onyee.