Richard irakunda
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 3,660
- 4,383
kamuulize cdf mzinduajiWapi??
kamuulize cdf mzinduajiWapi??
kamshika jiwe kama mwanae hivi...Aliniudhi sana kipindi kile, na alikutana na JK naye hana maneno na mtu.
Ila angejaribu kwa sasa ningekuwa niko Kigali nagonga vichwa watusi!
ajielewi tu.kwanini ajute?
jamaa ni military genius
that why anawaburuza mpaka south africa
Bila support ya raia wako huwezi kushinda vita mkuu; tulimpiga Amin kwasababu Nyerere alikuwa anaungwa mkono na wananchi wote!! Leo hii nchi imegawanyika hakuna umoja!!
Unakumbuka ule utafiti wa TWAWEZA ulitoa approval rating ya JIWE ilikuwa ngapi kwa wakati ule, nina hakika mpaka sasa itakuwa imeshuka zaidi kwani maisha kwa wananchi yamezidi kuwa magumu na yataendelea kuwa magumu kwani misaada hakuna na mazao yetu hayana soko la kutupatia forex!!
Upumbavu wako na wenzio haubadilishi ukweli; huoni JIWE anavyobabaika siku hizi hata usingizi hapati.Tuombe JF walete jukwaa la WAPUMBAVU HIGH CLASS ili uwe monitor wao
Dah! We jamaa ni muongo
Hatukumgeuka Museveni tulikuwa bado tunampika lakini akataka kuharakia madaraka. He was still junior by then nayeye alituelewa. Lakini tulipoona wale tuliofikiri wangeweza kuiongoza Uganda na ikatulia nao wameshindwa baada ya kuanzisha mivutano ya kimadaraka na makabila, tukaamua kumsupport Museveni akaanzisha movement iliyokuja kuzaa Uganda Bush War. Hii ilidistabilize utawala wa awamu ya pili ya Apollo Milton Obote na ikasababisha General Tito Okello Lutwa kuchukua madaraka chini ya Uganda National Military Council. Kosa alilofanya Okello mpaka tukaendelea kumpa nguvu zaidi Museveni ni kuegemea zaidi kwa hasimu wetu wa chini chini Kenya, na akawa anapokea kutekeleza maelekezo ya Daniel Arap Moi, wakati sisi tulitaka Uganda iongozwe na mtu mtiifu kwetu.facts lkn fafanua kdg jinsi tiss su MI walifanikisha kumsimika mseven maana mm navyojua mlimgeuka mseven na alichukua nchi kutoka kwa kichwa maji ambapo jeshi la obote mlijaza maofisa wa kitz
apo nimeelewa bt acha nirudie kusoma tena ili nipate pakubishiaHatukumgeuka Museveni tulikuwa bado tunampika lakini akataka kuharakia madaraka. He was still junior by then nayeye alituelewa. Lakini tulipoona wale tuliofikiri wangeweza kuiongoza Uganda na ikatulia nao wameshindwa baada ya kuanzisha mivutano ya kimadaraka na makabila, tukaamua kumsupport Museveni akaanzisha movement iliyokuja kuzaa Uganda Bush War. Hii ilidistabilize utawala wa awamu ya pili ya Apollo Milton Obote na ikasababisha General Tito Okello Lutwa kuchukua madaraka chini ya Uganda National Military Council. Kosa alilofanya Okello mpaka tukaendelea kumpa nguvu zaidi Museveni ni kuegemea zaidi kwa hasimu wetu wa chini chini Kenya, na akawa anapokea kutekeleza maelekezo ya Daniel Arap Moi, wakati sisi tulitaka Uganda iongozwe na mtu mtiifu kwetu.
Kufikia January 1986 Uganda National Military Council ikawa haina nguvu tena, kwa kuwa pia tulihakikisha biashara ya Kahawa ambacho ni chanzo kikuu cha pato la Uganda inakuwa dominated na National Resistance Army ya Museveni,hivyo serokali ya General Tito Okello ilikosa mapato ya kuwezesha kulipa wanajeshi watiifu kwa serikali na hali ya uchumi ikawa mbaya pia kwa wananchi wa kawaida.
Baada ya hapo tarehe za mwisho wa mwezi January, 1986 ulitaka kuitishwa uchaguzi lakini tulimtahadharisha Museveni asikubali uchaguzi bali aendelee kupigana mpaka serikali ya Titto Okello iliposurrender na Museveni kuchukua madaraka.
apo nimeelewa bt acha nirudie kusoma tena ili nipate pakubishia
Afadhari nimepata gapeHatukumgeuka Museveni tulikuwa bado tunampika lakini akataka kuharakia madaraka. He was still junior by then nayeye alituelewa. Lakini tulipoona wale tuliofikiri wangeweza kuiongoza Uganda na ikatulia nao wameshindwa baada ya kuanzisha mivutano ya kimadaraka na makabila, tukaamua kumsupport Museveni akaanzisha movement iliyokuja kuzaa Uganda Bush War. Hii ilidistabilize utawala wa awamu ya pili ya Apollo Milton Obote na ikasababisha General Tito Okello Lutwa kuchukua madaraka chini ya Uganda National Military Council. Kosa alilofanya Okello mpaka tukaendelea kumpa nguvu zaidi Museveni ni kuegemea zaidi kwa hasimu wetu wa chini chini Kenya, na akawa anapokea kutekeleza maelekezo ya Daniel Arap Moi, wakati sisi tulitaka Uganda iongozwe na mtu mtiifu kwetu.
Kufikia January 1986 Uganda National Military Council ikawa haina nguvu tena, kwa kuwa pia tulihakikisha biashara ya Kahawa ambacho ni chanzo kikuu cha pato la Uganda inakuwa dominated na National Resistance Army ya Museveni,hivyo serokali ya General Tito Okello ilikosa mapato ya kuwezesha kulipa wanajeshi watiifu kwa serikali na hali ya uchumi ikawa mbaya pia kwa wananchi wa kawaida.
Baada ya hapo tarehe za mwisho wa mwezi January, 1986 ulitaka kuitishwa uchaguzi lakini tulimtahadharisha Museveni asikubali uchaguzi bali aendelee kupigana mpaka serikali ya Titto Okello iliposurrender na Museveni kuchukua madaraka.
Jina lako la irakunda sawa na la bindi wa mr slim a.k.a paka ,Kigali unaikataaje halafu mnajifanya eti wazarendo wa ka rwanda 'ovyooo' si bora hata ungejiita Richard Churataarifa zip na nizipeleke wap?
ufunguke nini ww najua ni raia ata mpangilio wa briged za mipakani hujui
all in all mm sitokei kigali wala dom
Hakuna haja ya kujua silaha zinakaa wapi wakati uwezo wa kuvamia na kumiliki nchi yote ya Rwanda tunaoeneo muhimu kijeshi kwenu ni vyepesi saana kulikamata na linajulikana lkn kwa upande wa slim halijulikani
Jinalako linaonyesha wewe ni mtusi tena wa roho mbayataarifa zip na nizipeleke wap?
ufunguke nini ww najua ni raia ata mpangilio wa briged za mipakani hujui
all in all mm sitokei kigali wala dom
Bora Unyamaze Usichojua.....Ushaur Wa BureJeshi la JWTZ nilakizamani zaidi !!!
Labda south Africa ya huko kwenu
unajua maana ya irakunda?Jina lako la irakunda sawa na la bindi wa mr slim a.k.a paka ,Kigali unaikataaje halafu mnajifanya eti wazarendo wa ka rwanda 'ovyooo' si bora hata ungejiita Richard Chura