King of East Africa (bilashaka huu ndiye anayeongoza

kumbe jwwana air force?

wanatumia jet zip?
Unatamani sana kujua ndege na silaha za Tz ,Bahati mbaya au nzuri

Tz haina utaratibu huo , Bali huwa tunamuonesha adui kwenye sherehe za Uhuru ,Muungano n.k

Tena adui akiwa amealikwa na anashuhudia ,kinachibakia ni yeye kuamua kusuka ama kunyoa

Huu utaratibu ndio aliuanza JK na kumtwanga PK katika vita na M23

Alafu akaanza kulia lia kama kafumaniwa
 
Kipindi kile analeta chokochoko na Tz (wakati wa JK) nilipatwa na hasira naye huyu jamaa.

Nilienda kwenye page yake ya FB nikamwandikia ujumbe ambao sijui kama aliusoma. Na kama aliusoma basi huwenda ndiyo ulimfanya anyong'onyee.
watu wengi hamjuagi nini ilitokea hadi jamaa akagwaya, laiti mngejua tu
 
ata mm siamini lkn ile nchi sio ya kubeza ata kidogo kwenye swala la ujasusi
Kwenye ujasusi katika ukanda huu wa Afrika ni Tanzania ,itabaki tishio na hakuna mfanowe

Hao wengine ni poyoyo ,na kingine tambua Tanzania ni Taifa na Rwanda ni nchi na EAC karibia zote kasoro Tanzania ambayo ni Taifa
 
Tukiacha ushabiki hili ni tatizo yaani ukaue adui south afrika ushindwe kumkabili adui ndani mwako.hapa pana tatizo mkuu na kama aliwajua akawaacha basi aliamibi akiwadhuru yatamfika makuu zaidi.vinginevyo si kwa kagame nimjuae.
jasusi mahari kbs pk alituma full data upanga kuhusu hao majasusi uchwara na kwa kujiamin na kuonesha uwezo akawaacha wamuwinde tu
 
Kumbuka Idd Amin aliteka tukiwa hatujajiandaa na alipoteka alijiimarisha eneo hilo kwa kuweka heavily equiped battalian ikawa siyo rahisi kumtoa. Baada ya kumtoa nini kilifuata?

Kumbuka wakati tunapigana na Idd Amin uchumi wetu ulikuwa mdogo zaidi ya sasa na resources zetu hazikuwa well explored. Sasa wewe jilete sasa hivi kichwa kichwa uone cha mtema kuni.
kwanini msijiandae?

KM alifundishiwa wap na mlidhani nduli atapotezea?

haikuwa mara ya kwanza kwa idd amin kutaka kuivamia tz alikuwa ameshajaribu why jw walizembea?

vip kuhusu tension iliyokuwepo hamkuiona?

MI walikosaje taarifa za movement ya majeshi ya amin?

china,bulgaria,algeria,cuba,sadic,
soviet ndio waliompiga amin

museven na wananchi wa uganda ndio waliamua mshindi wa vita

pia tz mumshukuru saana bulgari

alafu mwishonii mwa vita mseven aliwageuka mpaka askari wakaambiwa wamlete akiwa hai au mfu why mlimshindwa na akauawa askari wenu
 
Unatamani sana kujua ndege na silaha za Tz ,Bahati mbaya au nzuri

Tz haina utaratibu huo , Bali huwa tunamuonesha adui kwenye sherehe za Uhuru ,Muungano n.k

Tena adui akiwa amealikwa na anashuhudia ,kinachibakia ni yeye kuamua kusuka ama kunyoa

Huu utaratibu ndio aliuanza JK na kumtwanga PK katika vita na M23

Alafu akaanza kulia lia kama kafumaniwa
zisijulikane wanatengeneza wenyewe?

jw inatumia hyo njia kuficha mapungufu yake rejea ufisadi wa shimbo rejea kivuko uchwara cha jiwe

ndege zenu nan asiyezijua ni mig na chengdu ambazo hazina ata uwezo wa kupita anga la kilaza burundi
 
Kwenye ujasusi katika ukanda huu wa Afrika ni Tanzania ,itabaki tishio na hakuna mfanowe

Hao wengine ni poyoyo ,na kingine tambua Tanzania ni Taifa na Rwanda ni nchi na EAC karibia zote kasoro Tanzania ambayo ni Taifa
Tiss ingekuwa imara ata robo ya unavyodhania now mngekuwa levo moja kiuchumi na south au nigeria

msingeibiwa makinikia karne zote hizo

nyumbu now wangekuwa wanajenga vifaru

majasusi wa slim wasingepenya mpaka kufikia ngazi za juu jw

nadhan ccm inawazidi ujasusi taifa
 
Siku ukipata kujua juu ya TISS nadhan utawaheshimu.Ila usichoke kutafuta taarifa zao mkuu
 
kwanini msijiandae?

KM alifundishiwa wap na mlidhani nduli atapotezea?

haikuwa mara ya kwanza kwa idd amin kutaka kuivamia tz alikuwa ameshajaribu why jw walizembea?

vip kuhusu tension iliyokuwepo hamkuiona?

MI walikosaje taarifa za movement ya majeshi ya amin?

china,bulgaria,algeria,cuba,sadic,
soviet ndio waliompiga amin

museven na wananchi wa uganda ndio waliamua mshindi wa vita

pia tz mumshukuru saana bulgari

alafu mwishonii mwa vita mseven aliwageuka mpaka askari wakaambiwa wamlete akiwa hai au mfu why mlimshindwa na akauawa askari wenu
Hatukujiandaa kwasababu tulikuwa tumempuuza na tulikuwa tunataka afanye damage ili tupate sababu ya kumpiga bila kupata upinzani kutoka jumuiya ya kimataifa.

Huwezi kushinda vita bila support. Hizo nchi ulizozitaja ni marafiki zetu ni lazima wangetusaidia. Ni sawa ambavyo Idd Amin alisaidiwa na Libya, Saudi Arabia, Syria, Israel na hata nchi za Magharibi.

Mseven na kundi lake la FRONASA hao walikuwa mpango wetu wa muda mrefu. Tulitaka akiondoka Idd Amin lazima hao wachukue hatamu ya uongozi katika nchi ile. Na sawa na nyie watutsi wa Rwanda mkileta ujinga wenu kwetu, wahutu watapigana nanyi wakiwa upande wetu.Tukimaliza kazi tunawakabidhi nchi.

Mseven hakuwahi kutusaliti. Nakumbuka baba yangu alikuwa mwanajeshi enzi hizo, alimlinda Mseven mpaka anakuwa Rais. Alirudi nchini baada ya mambo yote kuwa sawa. Kwa hiyo usipotoshe ukweli hapa.
 
Tiss ingekuwa imara ata robo ya unavyodhania now mngekuwa levo moja kiuchumi na south au nigeria

msingeibiwa makinikia karne zote hizo

nyumbu now wangekuwa wanajenga vifaru

majasusi wa slim wasingepenya mpaka kufikia ngazi za juu jw

nadhan ccm inawazidi ujasusi taifa
Kuibiwa au kutoibiwa makinikia inategemea na utashi wa Rais aliyeko madarakani. TISS walikuwa wanajua hayo yote na taarifa zilikuwepo tangu awali. Ulivyomweupe kichwani unafikiri Magu ameyajua hayo kutoka hewani? Yeye ameingia madarakani akakuta taarifa zote zipo lakini hazikuwahi kufanyiwa kazi.

Nyumbu wanatengeneza vitu vikubwa wewe hujui na baki hujui.Hujuwahi kusikia Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa likilalamika kwamba Tanzania inashirikiana na wataalamu wa Korea Kaskazini kutengeneza silaha.

Hakuna jasusi wa Rwanda aliyejipenyeza JWTZ hizo ni propaganda za kijinga tu.

Kama unakili CCM ina ujasusi imara iweje TISS iwe dhaifu?
 
Siku ukipata kujua juu ya TISS nadhan utawaheshimu.Ila usichoke kutafuta taarifa zao mkuu
tiss bado wanafanya ujasusi wa zama za kati that why tz bado ni maskini saana

nyumbu imekufa kiwanda cha tairi kimewafia mkononi

wahindi wameuwa viwanda vya tz tiss walikuwepo wap

peter serukamba imekuwaje akapenya kwenye siasa za tz au kwa sababu ni ccm?

jasusi una mic targer risasi 38
 
Hatukujiandaa kwasababu tulikuwa tumempuuza na tulikuwa tunataka afanye damage ili tupate sababu ya kumpiga bila kupata upinzani kutoka jumuiya ya kimataifa.

Huwezi kushinda vita bila support. Hizo nchi ulizozitaja ni marafiki zetu ni lazima wangetusaidia. Ni sawa ambavyo Idd Amin alisaidiwa na Libya, Saudi Arabia, Syria, Israel na hata nchi za Magharibi.

Mseven na kundi lake la FRONASA hao walikuwa mpango wetu wa muda mrefu. Tulitaka akiondoka Idd Amin lazima hao wachukue hatamu ya uongozi katika nchi ile. Na sawa na nyie watutsi wa Rwanda mkileta ujinga wenu kwetu, wahutu watapigana nanyi wakiwa upande wetu.Tukimaliza kazi tunawakabidhi nchi.

Mseven hakuwahi kutusaliti. Nakumbuka baba yangu alikuwa mwanajeshi enzi hizo, alimlinda Mseven mpaka anakuwa Rais. Alirudi nchini baada ya mambo yote kuwa sawa. Kwa hiyo usipotoshe ukweli hapa.
tz ilikuwa inakuwa kwa kasi kabla ya vita ya kagera vita hyo haikuwa na sababu ya maana zaidi ya ubabe wa kijamaa wa mwalimu ndiye aliyeanzisha chokochoko

vita iliwasababishia hasara ya matrilion kisa akili finyu ya majasusi wenu

kwanini msingesapoti waasi tu ?

chaguo lenu alikuwa ni kichwa maji obote ila mkauzuga mseven ndomaana baada ya kuiteka nchi kuna briged ilichapana na mseven

vita ile mlishinda coz raia wa uganda walikuwa upande wenu mlikuwa mkitegewa ambush wanawaambia that why maeneo ya porini mlikuwa mnachakazwa vibaya
 
Kuibiwa au kutoibiwa makinikia inategemea na utashi wa Rais aliyeko madarakani. TISS walikuwa wanajua hayo yote na taarifa zilikuwepo tangu awali. Ulivyomweupe kichwani unafikiri Magu ameyajua hayo kutoka hewani? Yeye ameingia madarakani akakuta taarifa zote zipo lakini hazikuwahi kufanyiwa kazi.

Nyumbu wanatengeneza vitu vikubwa wewe hujui na baki hujui.Hujuwahi kusikia Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa likilalamika kwamba Tanzania inashirikiana na wataalamu wa Korea Kaskazini kutengeneza silaha.

Hakuna jasusi wa Rwanda aliyejipenyeza JWTZ hizo ni propaganda za kijinga tu.

Kama unakili CCM ina ujasusi imara iweje TISS iwe dhaifu?
msemaji wa jw si ndiye aliyepayuka kuwa kuna luten mwenye asili ya rwanda katoroka?

ccm ina ujasusi imara kuliko tiss coz ili uwe tiss lzm uwe ccm

mnajenga silaha na north korea au mlinunua kutoka kwao?
alafu north korea waliuongezea uwezo mfumo wenu wa ulinzi wa anga tu

silaha ni biashara nchi inajenga silaha ili iuze wapate pesa nyie mnamuuzia nan kama kweli mnaunda silaha
 
Back
Top Bottom