King of East Africa (bilashaka huu ndiye anayeongoza

kipindi askari wa jw 14 wanauwawa ambush ilitumia mda gan kwa mujibu wa CDF wa jw?
Unajua wakati ile ambush inatokea ile camp ilikua na askari wangapi?na hadi inakuja backup ndio ikamaliza ule mchezo,na kitu kingine ni unafiki wa raia wa congo ndio waliuza mchezo wote khs ile camp,na hata hivyo mlimtambua brg gen mwakiborwa ni nani baada ya lile tukio
 
mwakibolwa alifanya nini

unafki wa wacongo kivip akati camp ipo porini kbs

back ilikuta tayari wameshaondoka

na kwanini south aligoma kupeleka bac up on time?

sema tu mjipe moyo kuwa askari walionesha uwezo wa kimedani kias fran
 
Bila support ya raia wako huwezi kushinda vita mkuu; tulimpiga Amin kwasababu Nyerere alikuwa anaungwa mkono na wananchi wote!!
Huyo kagame raia wanaomuunga ni watutsi tu ambao wako 16% wahutu wote hawamtaki ambao wako 84%,km khs hivyo basi kagame ndio sapoti yake kwa raia ni ndogo mno
 
Huyo kagame raia wanaomuunga ni watutsi tu ambao wako 16% wahutu wote hawamtaki ambao wako 84%,km khs hivyo basi kagame ndio sapoti yake kwa raia ni ndogo mno

Unakumbuka ule utafiti wa TWAWEZA ulitoa approval rating ya JIWE ilikuwa ngapi kwa wakati ule, nina hakika mpaka sasa itakuwa imeshuka zaidi kwani maisha kwa wananchi yamezidi kuwa magumu na yataendelea kuwa magumu kwani misaada hakuna na mazao yetu hayana soko la kutupatia forex!!
 
Back
Top Bottom