King of East Africa (bilashaka huu ndiye anayeongoza

New Nytemare

New Nytemare

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2011
Messages
2,811
Points
2,000
New Nytemare

New Nytemare

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2011
2,811 2,000
Aliniudhi sana kipindi kile, na alikutana na JK naye hana maneno na mtu.

Ila angejaribu kwa sasa ningekuwa niko Kigali nagonga vichwa watusi!
kamshika jiwe kama mwanae hivi...
kwaio saivi ndo anatawala kweli kweli
 
damper

damper

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2011
Messages
239
Points
225
damper

damper

JF-Expert Member
Joined Feb 27, 2011
239 225
Dah! We jamaa ni muongo
Bila support ya raia wako huwezi kushinda vita mkuu; tulimpiga Amin kwasababu Nyerere alikuwa anaungwa mkono na wananchi wote!! Leo hii nchi imegawanyika hakuna umoja!!
 
damper

damper

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2011
Messages
239
Points
225
damper

damper

JF-Expert Member
Joined Feb 27, 2011
239 225
Tuombe JF walete jukwaa la WAPUMBAVU HIGH CLASS ili uwe monitor wao
Unakumbuka ule utafiti wa TWAWEZA ulitoa approval rating ya JIWE ilikuwa ngapi kwa wakati ule, nina hakika mpaka sasa itakuwa imeshuka zaidi kwani maisha kwa wananchi yamezidi kuwa magumu na yataendelea kuwa magumu kwani misaada hakuna na mazao yetu hayana soko la kutupatia forex!!
 
B

Bulesi

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2008
Messages
7,559
Points
2,000
B

Bulesi

JF-Expert Member
Joined May 14, 2008
7,559 2,000
Tuombe JF walete jukwaa la WAPUMBAVU HIGH CLASS ili uwe monitor wao
Upumbavu wako na wenzio haubadilishi ukweli; huoni JIWE anavyobabaika siku hizi hata usingizi hapati.
 
U

Uphill

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2018
Messages
212
Points
250
U

Uphill

JF-Expert Member
Joined Sep 23, 2018
212 250
facts lkn fafanua kdg jinsi tiss su MI walifanikisha kumsimika mseven maana mm navyojua mlimgeuka mseven na alichukua nchi kutoka kwa kichwa maji ambapo jeshi la obote mlijaza maofisa wa kitz
Hatukumgeuka Museveni tulikuwa bado tunampika lakini akataka kuharakia madaraka. He was still junior by then nayeye alituelewa. Lakini tulipoona wale tuliofikiri wangeweza kuiongoza Uganda na ikatulia nao wameshindwa baada ya kuanzisha mivutano ya kimadaraka na makabila, tukaamua kumsupport Museveni akaanzisha movement iliyokuja kuzaa Uganda Bush War. Hii ilidistabilize utawala wa awamu ya pili ya Apollo Milton Obote na ikasababisha General Tito Okello Lutwa kuchukua madaraka chini ya Uganda National Military Council. Kosa alilofanya Okello mpaka tukaendelea kumpa nguvu zaidi Museveni ni kuegemea zaidi kwa hasimu wetu wa chini chini Kenya, na akawa anapokea kutekeleza maelekezo ya Daniel Arap Moi, wakati sisi tulitaka Uganda iongozwe na mtu mtiifu kwetu.

Kufikia January 1986 Uganda National Military Council ikawa haina nguvu tena, kwa kuwa pia tulihakikisha biashara ya Kahawa ambacho ni chanzo kikuu cha pato la Uganda inakuwa dominated na National Resistance Army ya Museveni,hivyo serokali ya General Tito Okello ilikosa mapato ya kuwezesha kulipa wanajeshi watiifu kwa serikali na hali ya uchumi ikawa mbaya pia kwa wananchi wa kawaida.

Baada ya hapo tarehe za mwisho wa mwezi January, 1986 ulitaka kuitishwa uchaguzi lakini tulimtahadharisha Museveni asikubali uchaguzi bali aendelee kupigana mpaka serikali ya Titto Okello iliposurrender na Museveni kuchukua madaraka.
 
Richard irakunda

Richard irakunda

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2018
Messages
2,701
Points
2,000
Richard irakunda

Richard irakunda

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2018
2,701 2,000

apo nimeelewa bt acha nirudie kusoma tena ili nipate pakubishia
 
Afadhari nimepata gape

hyo kahawa nyie mliidomited kivip ?

m7 ni mbona sio mtiifu kwa tz na bado yupo?

uhusiona wa ADF-nalu na mseven sio mzuri lkn why wanawawinda nyie drc?

vip nafasi za mapandikizi wenu kwenye utawala wa obote walienda wap au walifanikishaje anguko la obete kwa okelo?
 
LOVE U JF

LOVE U JF

Member
Joined
Dec 16, 2018
Messages
82
Points
150
LOVE U JF

LOVE U JF

Member
Joined Dec 16, 2018
82 150
taarifa zip na nizipeleke wap?

ufunguke nini ww najua ni raia ata mpangilio wa briged za mipakani hujui

all in all mm sitokei kigali wala dom
Jina lako la irakunda sawa na la bindi wa mr slim a.k.a paka ,Kigali unaikataaje halafu mnajifanya eti wazarendo wa ka rwanda 'ovyooo' si bora hata ungejiita Richard Chura
 
basheer

basheer

Senior Member
Joined
Apr 25, 2010
Messages
162
Points
250
basheer

basheer

Senior Member
Joined Apr 25, 2010
162 250
Mtu mwenyewe east Africa kakaribishwa atakuwaje king wa eneo hili. Kwanza hatuhitaji hata kupigana nae tunawapa silaha intirahamwe wanamaliza mchezo wote
 
Richard irakunda

Richard irakunda

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2018
Messages
2,701
Points
2,000
Richard irakunda

Richard irakunda

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2018
2,701 2,000
Jina lako la irakunda sawa na la bindi wa mr slim a.k.a paka ,Kigali unaikataaje halafu mnajifanya eti wazarendo wa ka rwanda 'ovyooo' si bora hata ungejiita Richard Chura
unajua maana ya irakunda?

kumbe now kuna majina ya nchi?

LOVE U JF ni jina la kabila gan?

na vip kuhusu Richard?
 
Forum statistics

Threads 1,285,016
Members 494,369
Posts 30,847,424
Top