King of East Africa (bilashaka huu ndiye anayeongoza


Richard irakunda

Richard irakunda

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2018
Messages
2,701
Points
2,000
Richard irakunda

Richard irakunda

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2018
2,701 2,000
hitmisho sasa ni hili

urafiki ni muhmu na pk ndio king wa ukanda huu

vilaza ni burundi na congo
 
B

Bukyanagandi

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2009
Messages
7,759
Points
2,000
B

Bukyanagandi

JF-Expert Member
Joined Jun 24, 2009
7,759 2,000
Jk akutikisika,alienda kumchapa kule kwenye misitu ya congo,mpk wale jamaa zake wakakimbilia uganda
Tunayasema haya kimzaa zaa lakini hakuna anaye jiuliza baada ya kipigo cha M23 huko msituni, iweje jeshi la Tanzania katika kikosi cha kulinda amani huko DRC ndicho kinavamiwa kwa kushtukizwa mara kwa mara, si hilo tu miaka ya nyuma jeshi letu liliwahi kuvamiwa huko Darfu Afrika ya kati, wakasingiziwa sijui Janjaweed (sikumbuki jina vizuri) hakuna aliye uliza kama vikosi vya kulinda amani huko Darfur kulikuwepo vile vile kikosi kutoka katika moja wapo ya nchi za maziwa makuu.

Matukio kama haya yasiyo ya kawaida yanapo kumba jeshi letu linapo kuwa kwenye masuala ya kulinda amani within maziwa makuu na Central Africa, Jeshi letu lijiulize maswali Mara mbili mbili kwa nini the so called waasi wa pick on JWTZ most of the time, kuna kitu si bure.
 
K

kajembe

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2010
Messages
761
Points
225
K

kajembe

JF-Expert Member
Joined Nov 8, 2010
761 225
fact umeongea point kwa 98% hizo mbili zilizobaki sio point kivile bt ni point

pia rwanda usalama ni mkubwa tu nilikuwepo uko mwaka juzi

wanyaru waliopo congo slim kawafungulia milango kurudi kwao ni wenyewe tu ndo hawataki

umaskin upo kweli coz nchi haina utajiri wowote that why man of the people anafinght kuitoa nchi yake ilipo
sawa bwana, vita haina maana yeyote! tutakao umia ni sisi watu wa kawaida hao akina slim na akina jk wala hawaumii chochote ndugu wataendelea kula bata tu. Mimi nawajua sana watu wa mipakani nimekua nao ni marafiki zangu sana huwa wanasumbuliwa sana na maamuzi ya hovyo ya viongozi wetu na wao ndiyo wanaumia, mfano ni ile operation ya jk ya kuondoka wahamiaji haramu na kuwarudisha Rwanda,that was nonsense kabisa walionea watu maskini wadogo ambao hata walikuwa hawahusiki na mizozo ya jk na Kagame, mtu baba yake na mama yake anabebwa na kutupwa border ya rwanda na watoto wanabaki TZ. Mzee mmoja maskini ameishi hapa toka kabla ya uhuru leo unasema eti siyo mtanzania arudi rwanda binafsi sidhani kama ni sawa kisa eti wakubwa wamegombana na sasa wameamua kukomoana.Mimi nina rafiki yangu for so many years tumekua pamoja eti nae wakasema ni Mnyarwanda yaani mpaka unashangaa hivi waafrica tukoje lakini? Slim napenda alichofanya baada ya hapo yeye alisema hafukuzi mtz yeyote na tz ni ndugu na rwanda tena akasema wala sijambo na kuomba hiyo ni by default na ikasaidia yakaisha. JK alikua anacheka kama hakuna kitu kumbe anajambo lake na hiyo ndiyo tabia ya watu wa pwani anakumaliza huku anacheka. Mimi msimamo wangu jamani tusiombe mambo ya vita hayana faida yeyote,tushindanie maendeleo jamani! wahndi na wachina wamejaa hapa hawana hata vibali na kwao wanatubagua halafu sisi waafrica tunataka tukumuoane wenyewe mpaka leo kumbe hatujui umoja ni nguvu?
 
Jerry Ekky

Jerry Ekky

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2018
Messages
621
Points
1,000
Jerry Ekky

Jerry Ekky

JF-Expert Member
Joined May 6, 2018
621 1,000
Mtu aliishi kama gidigidi dadadeki. Achana na JWTZ kabisa. Hii nchi kuna vitu ukiambiwa unaweza kufikiri ni movie!

Wanaobeza uwezo wetu kijeshi hawajui wasemalo.
Wache waendelee kubeza, kwa kuwa hawajui lolote. Japo wanaona sawa tuu kuamka asubuhi na kushinda siku nzima wakiwa na amani & utulivu bila kujua wapo watu wanavuja jasho & kukesha kila siku ili nchi iwe kwenye hali ya utulivu & amani.
 
kayaman

kayaman

JF-Expert Member
Joined
Aug 3, 2013
Messages
3,758
Points
2,000
kayaman

kayaman

JF-Expert Member
Joined Aug 3, 2013
3,758 2,000
Wabongo wanaipenda sana rwanda na kagame wao hapiti siku mbili lazima uanzishwe uzi uwe wa kuponda au kusifia ilimradi tu kumjadili kagame, pambaneni na jiwe na vikokotoo vya pensheni kwanza, mkimaliza mmwambie bashite asafishe mji kariakoo yote chemba za mavi zinatililika barabarani
 
TEMLO DA VINCA

TEMLO DA VINCA

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2013
Messages
1,571
Points
2,000
TEMLO DA VINCA

TEMLO DA VINCA

JF-Expert Member
Joined Sep 1, 2013
1,571 2,000
jamaa ni military genius huyo anajua jinsi ya kudili na tz lkn kivyovyote vile hawezekaniki
Mjomba unajua huyo mafunzo ya jeshi at first time kachukulia nchi gan ???? Huyo kwa tz ni bwana mdogo sana tena kijana wetu hawezi na hatakuja iletea ujinga tz maana anatufahamu vzuri sana..
NB: kumbuka vjana wake wa m23 tuliwafanya nn ??? Alipomzingua jk..TZ WE RUN THIS EA SHIT
 
TEMLO DA VINCA

TEMLO DA VINCA

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2013
Messages
1,571
Points
2,000
TEMLO DA VINCA

TEMLO DA VINCA

JF-Expert Member
Joined Sep 1, 2013
1,571 2,000
Nchi hii kwa wakati huu; it is easily penetrated hivyo akitaka kuipiga ataiangusha kama anasukuma mlevi, kwasababu nchi sasa hivi haina umoja , wanannchi wanachukiana kiasi kwamba wengine wanaweza kuwaunga mkono maadui!!
Huijui tz anko
 
Richard irakunda

Richard irakunda

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2018
Messages
2,701
Points
2,000
Richard irakunda

Richard irakunda

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2018
2,701 2,000
Mjomba unajua huyo mafunzo ya jeshi at first time kachukulia nchi gan ???? Huyo kwa tz ni bwana mdogo sana tena kijana wetu hawezi na hatakuja iletea ujinga tz maana anatufahamu vzuri sana..
NB: kumbuka vjana wake wa m23 tuliwafanya nn ??? Alipomzingua jk..TZ WE RUN THIS EA SHIT
m23 aliwapiga kolabo nchi tatu tz,south na malawi

kwann hamkuwakamata makamanda wao?
 

Forum statistics

Threads 1,285,009
Members 494,369
Posts 30,847,189
Top