King of East Africa (bilashaka huu ndiye anayeongoza

saidoz

Member
Nov 11, 2016
11
10
arton113213-f1fba.jpeg
32403626308_190c73bb78_b-3fc8f.jpeg
46275165481_d622e6434e_b-29ac4.jpeg
46225076832_486f29c924_b-cc22d.jpeg
46275236031_00c42e5b2d_b-1d418.jpeg
32403637628_567564dd6e_b-5eca7.jpeg
45555433014_b64a6d6b58_b-d6fc3.jpeg
perezida_kagame_aganira_n_umugaba_mukuru_w_ingabo-2d42e.jpeg
 
Kipindi kile analeta chokochoko na Tz (wakati wa JK) nilipatwa na hasira naye huyu jamaa.

Nilienda kwenye page yake ya FB nikamwandikia ujumbe ambao sijui kama aliusoma. Na kama aliusoma basi huwenda ndiyo ulimfanya anyong'onyee.
Huyu ndye kiumbe muuaji nimchukiaye ktk sayari hii ya wana wa Adam & Eva,Baada ya uadui na Burundi , Congo ,Tanzania na Uganda sasa kana ugomvi na South Africa
 
Back
Top Bottom