King Mswati kwa mara nyingine

kzba

JF-Expert Member
Jun 19, 2014
1,356
789
Jamaa anafaidi aisee.

attachment.php
 

Attachments

  • 1423397473241.jpg
    1423397473241.jpg
    57.3 KB · Views: 4,340
Mtoto NIDO imesimama vizuri, Mswati anafaid I kila mwaka anakata utepe yeye tu wengine tunazeeka hata ya SHABU hatujakutana nazo
 
Kuweka picha ya hivyo ndo kufaidi kama ni kitu chema hebu tupia picha ya mwanao akiwa matiti yakiwa nje,utu wa mwanamke ni matiti yake lakini mwaona fahari juu ya hili,ole iko siku.

Nashangaa mod.kuacha picha kama hii,inayokwenda kinyume cha maadili.
 
Kuweka picha ya hivyo ndo kufaidi kama ni kitu chema hebu tupia picha ya mwanao akiwa matiti yakiwa nje,utu wa mwanamke ni matiti yake lakini mwaona fahari juu ya hili,ole iko siku.

Unajua linapotokea jambo unatakiwa kutazama nini kimesababisha au jambo hilo limetokea au limeanzia wapi sio kutazama jambo limefikia wapi.

Hivi kukosa kujianika maziwa nje na kupiga picha kama hiyo sisi tungeipata wapi...?.

Uthamani wa mtu wee ndio unaujua sana kuliko yeye anavyojua uthamani wake...?.

Huyo aliyewekwa hapo ni mwanao au ni wewe ndio umeanikwa hadharani au ni mamako...?.

Kila mtu ana MILA NA DESTURI yake ndio mana unaona wanakaa MANYONYO NJE hizo ni MILA zao kama unavyoona MMASAI kutembea maungo wazi au MUHINDI kutembea tumbo wazi hizo ni MILA NA DESTURI zao bhandugu.

Kwa hiyo ya MUNGU muachie MUNGU na ya KAISARI MUACHIE KAISARI.
 
Back
Top Bottom