King Kiba anaendelea kupiga pesa kwenye kustream

Robidinyo

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
3,726
7,648
Wiki nyingine, namba 1 ni yuleyule
.
Tanzania Most Streamed Artist officialikiba

Tanzania Most Streamed Song #SoHot

Dodo ndio ngoma ya Bongo Flava inayosikilizwa zaidi on boomplaymusic_tz

Dodo Imeshindikana Zimepita ngoma kibao hapo kati ila Dodo ipo Imara, Mziki Mzuri na Bora unapimwa huku kwenye Kustream na ndiko wasanii wakubwa wote walikowekeza na wanakopiga pesa

Ukiona msanii anapima mziki wake kwa Views Youtube na Mavideo yake ya nusu uchi ujue mziki mbovu, si mbaya Diamond akajifunza kwa Ali kiba kutoa ngoma zinazoishi hazichuji, siyo yale mamiziki Jojo yanatafunwa na kutemwa Hapohapo

Pole Sana Babu Tale kwa kuondokewa na Mama Watoto wako..

Niitumie Furusa hii adimu kuwaomba team Wcb Mumuombee yule meneja mwenye mashavu makubwa kama jibwa la kijerumani na mwambieni aache utoto

beingaidancharlie_20200630_1.jpg
beingaidancharlie_20200630_2.jpg
beingaidancharlie_20200630_3.jpg
 
km nawaona team tecno wereva + kununuliwa bundle, wakiwa wamevimba baada ya kuona uzi huu. Nasubiri povu jingi kutoka kwao maana nna nguo chafu hatareeeh, piga kelele kwa G. O. A. T ake, weuweeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeh
 
Wajinga wengine bwana,yaani mtu tangu afungue account huko boomplay kashapitwa hadi zuchu bado mnasifia. Sijui mnasikilizia nyimbo zake offline Dah
 
Zuchu kazidi vidume wangapi wadananda mliojaa hapo sebureni wcb,na hatusemi.

Kunzidi kiba nusu saa trend inakuwa habari.
 
Sisi ndio tim kiba dam dam.tumeshampita hata zuchu huko boomplay sema tu hatupendi show off ndio maana hata nyimbo za boss tunasikilizia offline
 
Wiki nyingine, namba 1 ni yuleyule
.
Tanzania Most Streamed Artist officialikiba

Tanzania Most Streamed Song #SoHot

Dodo ndio ngoma ya Bongo Flava inayosikilizwa zaidi on boomplaymusic_tz

Dodo Imeshindikana Zimepita ngoma kibao hapo kati ila Dodo ipo Imara, Mziki Mzuri na Bora unapimwa huku kwenye Kustream na ndiko wasanii wakubwa wote walikowekeza na wanakopiga pesa

Ukiona msanii anapima mziki wake kwa Views Youtube na Mavideo yake ya nusu uchi ujue mziki mbovu, si mbaya Diamond akajifunza kwa Ali kiba kutoa ngoma zinazoishi hazichuji, siyo yale mamiziki Jojo yanatafunwa na kutemwa Hapohapo

Pole Sana Babu Tale kwa kuondokewa na Mama Watoto wako..

Niitumie Furusa hii adimu kuwaomba team Wcb Mumuombee yule meneja mwenye mashavu makubwa kama jibwa la kijerumani na mwambieni aache utoto

View attachment 1492987View attachment 1492988View attachment 1492989
Mkuu unasifia kusreamiwa boomplay halafu unaponda wanaojisifia kutazamwa Youtube kwani tofauti hapo ni nini wakati kote kote ni sawa utofaute wakeplatform?
 
Labda huko boom play anatumia free basic
 
Wiki nyingine, namba 1 ni yuleyule
.
Tanzania Most Streamed Artist officialikiba

Tanzania Most Streamed Song #SoHot

Dodo ndio ngoma ya Bongo Flava inayosikilizwa zaidi on boomplaymusic_tz

Dodo Imeshindikana Zimepita ngoma kibao hapo kati ila Dodo ipo Imara, Mziki Mzuri na Bora unapimwa huku kwenye Kustream na ndiko wasanii wakubwa wote walikowekeza na wanakopiga pesa

Ukiona msanii anapima mziki wake kwa Views Youtube na Mavideo yake ya nusu uchi ujue mziki mbovu, si mbaya Diamond akajifunza kwa Ali kiba kutoa ngoma zinazoishi hazichuji, siyo yale mamiziki Jojo yanatafunwa na kutemwa Hapohapo

Pole Sana Babu Tale kwa kuondokewa na Mama Watoto wako..

Niitumie Furusa hii adimu kuwaomba team Wcb Mumuombee yule meneja mwenye mashavu makubwa kama jibwa la kijerumani na mwambieni aache utoto

View attachment 1492987View attachment 1492988View attachment 1492989
na ww unapiga pesa wapi boss..!
 
Au siko makini? Shilingi ngapi ameingiza kwa kwenye hiyo boomplay?
 
Magufuli aache upendeleo, yaani anasikiliza nyimbo za Zuchu sasa za King Kiba vipi?
 
Back
Top Bottom