King Kiba amla Sadala Chenga ya Mwili

Kwa sisi wateja / walaji ndio tunavyopenda waachi waachie tu..., ila kwa ushauri mara nyingine quality ni muhimu kuliko quantity zamani wenzao huko magharibi ya mbali ilikuwa kila summer ndio wanatoa kazi...

Yaani wanatoa kazi kali inadumu mwaka mzima wanakuwa wanakula tu faida mwaka kesho tena wanatoa...., kuliko kutoa nzuri double double zikichuja zote zinachuja kwa mpigo
Hata movies nyingi wanapenda kuachia kipindi cha summer
 
Kitu kinakimbiza huko jijini Youtube, team wachafu wa roho wameanza kuset maroboti
Hahaa...mkuu mambo ya kushindania Youtube ushamba tumewaachia underground. Mtu leo views 1.6m kesho 1.2m!

Siku hizi tunaangalia STREAMS. Watu waweke mezani namba zao za streams tuwape respect.
 
Alikiba kaachia ngoma late ila saivi anamkimbiza sadala, mimi sio mshabiki wa views youtube, ila hii michezo alishasemaga Ommy dimpoz, akaishia kutukanwa na misukule ya WCB, lakini ukweli ndio huo, hii michezo ipo na wamefanya sana WCB, sasa team kiba wamedicipher the code.
Juzi video ya iyo ilipata views 1.5 ndani ya masaa 24, toka jana hadi leo ana views 1.9, that means views walioongezeka ni 400k tu,
 
Ya diamond ina 2M wakati ya Kiba ina 1.2M
 
20210801_095525.jpg
masponsored lazima wahusike, japo sio kesi.
 
Sina la kusema, bt kuna mmoja hapa keshafikisha wafuas wake, na mwingne hap ndyo kwaanza ngoma mbichi bado atazd kutrend maana wafuas wake n weng
Screenshot_2021-08-01_135720.jpg
 
Ifike mahali tujue tu hawa watu wawili ni level mbili tofauti wala sio kuwalinganisha mondi ni kitu kingine kabisa mjue
mahaba hayo

wanao comment nyimbo za kiba ni wengi sana na inaonyesha loyal kwa kiba!!!!!

Diamond wanakuwa entertained wanasepa!!

muda huu wimbo mbaya jealous una watu 2.9m na wimbo mzuri wa diamond una 2.8m

halafu wewe kinyamkera unasemaje?
 
Subiri the end of the game itaishiaje Mara nyingi Ngoma za Kiba zinaweza kuanza kwa kasi alafu zinaishia na 10M wakati za mondi zinagonga huko kuanzia 30M+ save this comment hiyo Ngoma ya Kiba itapigwa game kubwa after one month
 
Back
Top Bottom