King Kiba amjibu Icon wa Taifa Diamond Platinumz

kedrick

JF-Expert Member
Apr 25, 2015
5,059
4,866
Msanii wa k'ko King Kiba anaetarajia kufikisha miaka 40 hapo kesho amejibu kauli ya Icon wa Taifa, Mr Oxygen, Chibu Dangote. Simbaaaaa, Diamond Platinumz kuhusu pete ya kijani wiki iliopita Diamond alinukuliwa kwny XXL akisema “Mimi sina matatizo na watu ndio maana wakijaribu kushindana na mimi huwa wanashindwa. Hata ukiniangalia sina hata pete ya kijani kwenye vidole vyangu.”

Upande wa Alikiba leo ameweka picha kwenye mtandao wa Instagram na kuandika, caption “Pete Ya Kijani
[HASHTAG]#BirthdayLoading29thNoV[/HASHTAG] [HASHTAG]#KingKiba[/HASHTAG].”

98d1860f4e823001a349b1cfb4db0bfe.jpg



fa9334ffe94ae03fc5bed608a610c7d7.jpg
 
Kiki zinapatikana Wasafi tu, tumemzoea na wenzake Hbaba, Vitobo ya mashavu, ma'ex wote walewale..

Chibu Dangote hakumtaja mtu, ila ye katafuta hiyo pete ili ionekane aliongelewa yeye..
Acha ushabiki asee ali kiba hiyo pete anayo muda mrefu sana hajaanza kuivaa juz wala jana
 
Back
Top Bottom