King Kiba aligusa mpira kweli ?

ibanezafrica

JF-Expert Member
Oct 23, 2014
7,261
6,543
Kwa mliotazama game ya Coast Union Vs Mbeya City jana, vipi mfalme alifanikiwa hata kutoa pasi moja ? Sikupata muda wa kuangalia nasubiria marudio azam tv leo.
 
Nashindwa elewa jamaa anafanya hv kwa ajili ya mapenzi na timu..kipaji au maana sikuzote mshika mawili
 
Umama upoje?, inawezekana na wewe ni mijitu fulani hivi ndio maana unapanic! Na ndio maana nimemtaja Kiba sijataja vile mindset yako inataka mzee!
We ndio una washwa washwa! Hapa anazungumziwa kiba, sa hao majitu wametokea wapi? Kama sio umama huo ni nini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom