King, Crown Prince congratulate Samia Hassan on becoming Tanzania President

wagagagigi

JF-Expert Member
Dec 9, 2014
890
983
The Crown Prince HE Muhammad bin Sulaiman, deputy prime minister and minister of defense has congratulated Madam Samia Suluhu Hassa for becomming President of Tanzania. Below is the quote from the Saudi gazette.

"RIYADH — The Custodian of the Two Holy Mosques King Salman has sent a cable of congratulations to the United Republic of Tanzania President Samia Hassan on taking oath of office as President of the United Republic of Tanzania.

The King expressed his sincere congratulations and wished her all success as well as the people of the United Republic of Tanzania steady progress and prosperity.

Crown Prince Muhammad Bin Salman, deputy prime minister and minister of defense, too sent a cable of congratulations to Tanzania President Samia Hassan on taking oath of office.

The Crown Prince expressed sincere congratulations and wished her all success and good health as well as the people of Tanzania steady progress and advancement. "

Unaweza kukisia ni mwaka gani Saudi watapata Malkia au Prime Minister?
Wanawake waliruhusiwa kuanza kuendesha magari 2018 kama sijakosea...sijui kama wana haki hata yakushika nafasi yoyote ya uongozi
 
The Crown Prince HE Muhammad bin Sulaiman, deputy prime minister and minister of defense has congratulated Madam Samia Suluhu Hassa for becomming President of Tanzania. Below is the quote from the Saudi gazette.

"RIYADH — The Custodian of the Two Holy Mosques King Salman has sent a cable of congratulations to the United Republic of Tanzania President Samia Hassan on taking oath of office as President of the United Republic of Tanzania.

The King expressed his sincere congratulations and wished her all success as well as the people of the United Republic of Tanzania steady progress and prosperity.

Crown Prince Muhammad Bin Salman, deputy prime minister and minister of defense, too sent a cable of congratulations to Tanzania President Samia Hassan on taking oath of office.

The Crown Prince expressed sincere congratulations and wished her all success and good health as well as the people of Tanzania steady progress and advancement. "

mbona hajatoa pole tumepoteza mwamba wa Africa?! Mscheewwww
 
Nafasi pekee za uongozi kwa wanawake wa Saudi Arabia ni kuwa mke mkubwa kwenye ndoa kati wanawake wanne na vimada watano.
Mkuu, ushawahi kuishi Saudi Arabia? Ningeomba usiongee usiyoyajuwa. Tuulize sisi tulioishi kwenye hio nchi.
 
Kama salamlu baina ya nchi na nchi zinarudishwa kwa kukataliwa basi salamu za huyu jamaa zingefanyiwa hivyo na Tanzania.Hana maana kabisa.
 
Ni taratibu zao tu ndizo zinazozuia wanawake kuwa malkia?

Kwani taratibu haziwezi kubadilika kufuatana na nyakati zilizopo?
Inawezekana, kwani nani alijuwa kwamba wanawake wa Saudi wataruhusiwa kuendesha gari? The Crown Prince Muhammed bin Sulaiman ni mtu ambae anapenda sana mabadiliko, lakini inaonyesha wasaudi wenyewe wengi hawajakuwa tayari. Niseme labda ni sheria ya kiislam kwamba ina-prefer kiongozi wa nchi awe mwanamme. Ni kwa sababu wengi wanaamini dini na culture yao na hawaoni mbadala kwao. Hata hivyo watu watadhani kwamba wanawake wa kisaudi wanakuwa oppressed lakini kiuhalisia sivo kabisa!
Kuna wanawake wengi ambao hawapendelei wenyewe hayo mabadiliko. Kwa mfano wengi hawapendi kuendesha gari bado ingawa wameruhusiwa. Kwa ufupi it has to do with Cultural moral more than oppression.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom