King Crazy GK, I miss you

Kama Jabali majibaba yenye uwezo kwenye rap hata kifedha upanga east tunatisha temeke rap style ndio mwisho kuwakilisha,nikisema A nyie machizi semeni Ooooo!!!

Hapo pekundu, bahati mbaya sana wao ndio ukawa mwisho wao wa kuwakilisha kama kundi. By the way nadhani GK akimaliza masomo huenda akaunga unga kundi na kurudi tena, ingawa haliwezi kuwa kama lile la mwanzo lenye vichwa hivi:-
1. Snare (tamka Snea)
2. Buff G (kushinda Masaki, kulala Tandika), TMK ndivyo walivyomnanga
3. Gwamaka Kaihula (GK)
4. Ambwene Yesaya (AY)
5. Filipo Nyandindi (O-10)
6. Polin Zongo (TOT Plus)
7. Hamisi Corleone Mwinjuma (Mwana FA)
8. Stan Boy (huyu dogo nasikia yupo States)

 

Similar Discussions

Back
Top Bottom