Kindle Paperwhite WiFi (not built-in-light version) inauzwa

Fredwash

JF-Expert Member
Oct 27, 2009
1,038
1,373
Habari waungwana,

Nauza Kindle Paperwhite WiFi.

ina vitabu zaid ya 1000. vya bure na vya kununua.

pia nina software ya kukuwezesha kusideload kitabu chochote katika format yoyote uweze kukisoma kwenye kindle

sababu ya kuuza: nimenunua version mpya ya kindle hdx

tuwasiliane

DSC_2919.jpg kindle wifi.jpg DSC_2907.jpg

txt , viber, whatssap, call, kwenye namba 0754484110
 
Mkuu inaonekana hii mashine unayo tangu 2012. Huyo betri si itakuwa ishaisha nguvu Mkuu?
 
kaka E book reader ni tofauti na gadget zingine. hasa hiyo kindle ni kwa ajili ya kusoma vitabu tu. so hapo huwezi kuidrain battery. hiyo mashine namaliza nayo wiki 3 had mwezi bila kuchaji. na huwa siiizimi.

we uliza mtu ambaye anazijua E book reader. achana na hz tablet zenye mbwembwe kibao. hiyo kindle ni unasoma kama kitabu halisi
 
Nimekusoma Mkuu
 
Back
Top Bottom