Kindle, eBooks and the future of Tanzania - Freddy Macha

sikubaliani na wewe kuwa tatizo ni vitabu, viitabu vipo ila wasomaji na taibia ya kujisomea ndo hakuna. tumebakia kusoma vitu rahisi tu -uwazi, kiu nk
...Upo bongo, ndugu? na umetembelea maktaba za vyuo mbalimbali, achilia mbali shule. Huyo ndugu alichokisema ndio hali halisi.
 
wewe siyo great thinker? au wengine ndio wanatakiwa kujadili? Ila hii mada wenzio walishajadili hapa tafuta tu.
ndio ugonjwa wa mtanzania, kila kitu ni jukumu la mwenzake, kasheshe yeye anaona hata ugreat thinker ni someone else ili apate pa kuhoji na kulalama

ukimuuliza amefanya nini atasema sio kazi

inachekesha
 
Huyu freddy kujiita mwandishi miaka yote inamaana hajui kuweka space kwenye maandishi yake?

Hiyo Kindle ndio kaipata leo au wiki hii?

Freddy acha kukaa sana nje ya nchi

Hizo kindle zenyewe zinatakiwa kuchajiwa huo umeme uko wapi?

Kwana angekuliza inakuwaje waziri wa fedha na ma diplomats wetu wana degrees feki?

tupiumzishe bwana marasta
 
Jamani, UTAJENGAJE TAIFA LA WATU WANAOPENDA KUSOMA kama Rais wako ANAPEWA DIGRII YA BURE KWA KUSIMAMIWA NA POLISI na anafurahia. Ngoja na sisi tusubiri hizo za bure tutazipata tu. You can see it as a joke but that is the truth. Seriousness should start from your Head of State. Even in a family, if parents does not care about the child's education, he/she will also not take it seriously.

Mie naenda Masjid Kuswali, kwaherini!
 
...Upo bongo, ndugu? na umetembelea maktaba za vyuo mbalimbali, achilia mbali shule. Huyo ndugu alichokisema ndio hali halisi.

Mkuu siku hizi si kama zamani. Vigabu vipo vingi na journals nyingi zipo kwenye mitandao-elibfary kibao. Wanafunzi hawasomi ni wavivu tu na wanakariri tu ili kufaulu mitihani hakuna kujishughulisha ili waelewe. Ndio kwanza wengine wanakamatwa na misokoto ya mibange wakiivuta! Nchi ya wasomi wavuta bangi!

Tusiliangalia hilo nchi hii haifiki kokote tutaishia kusema tuwape vijana nafasi kumbe tunawapa wavuta bangi! Kuna siku Wassira alisema vijana ni wavuta bangi watu wakamcheka na kumdhihaki lakini sasa yanajidhihirisha; Kuna wabunge wavuta bangi na wasomi wavuta bangi vichwani hakuna fikira za kisomi kwa kuwa wanasoma Udaku, Kiu, Sani, Ijumaa weekender!
 
Tunasema hatusomi vitabu bongo kwa sababu hakuna maktaba, fair enough, lakini mbona Watanzania wengi waliopo nchi zilizojaa maktaba, Internet yenye kuwezesha kudownload free e-books, maduka ya vitabu vya mitumba, na hizo telnolojia nyengine, hawana utamaduni wa kujisomea vitabu?
 
Back
Top Bottom