Kinda wawili wa Taifa stars wamkuna Arsene Wenger | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kinda wawili wa Taifa stars wamkuna Arsene Wenger

Discussion in 'Sports' started by Nemesis, Jun 14, 2010.

 1. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #1
  Jun 14, 2010
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,833
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Source: Arsene Wenger tips Ivory Coast, Cameroon | News - Kickoff.com/2010

  ni kina nani hawa? Ngasa na Kig?
   
 2. Maarifa

  Maarifa JF-Expert Member

  #2
  Jun 14, 2010
  Joined: Nov 23, 2006
  Messages: 2,880
  Likes Received: 1,050
  Trophy Points: 280
  Good news for the boys. TFF leteni wengine pamoja na hasara zenu lakini vijana huenda wakaonwa na mascout. Na Wenger ninamuamini atafanyia kazi. He is a good Coach na anajua kuwalea walio wadogo.
   
 3. A

  Alpha JF-Expert Member

  #3
  Jun 14, 2010
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 614
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Good stuff

  I have no idea what a Walcott type is does anyone know?

  I'm guessing he was impressed by Khalfan and Ngassa
   
 4. ELNIN0

  ELNIN0 JF-Expert Member

  #4
  Jun 14, 2010
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 3,771
  Likes Received: 219
  Trophy Points: 160
  Wakuu kwa style ya wenga ya kiuchezeshaji anapenda watu wenye speed na wepesi --- Bila kubisha atakuwa kamwona Ngassa wa pili bado nina mashaka kama ni Mgosi au Tegete.

  Good news for Tanzania soccer.
   
 5. Mkosoaji

  Mkosoaji JF-Expert Member

  #5
  Jun 14, 2010
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 363
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Ina maana Ngasa atarudi tena London? hii habari njema hii
   
 6. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #6
  Jun 14, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ..Hao wote hakuna Walcot type mbona vizee hivyo. Tena huyo Ngassa ndio hana akili kabisa si alikwenda kufanya majaribio Westharm Utd akashauriwa kuwa arudi Tanzania afanye mazoezi sana na lishe kubwa ili aongeze stamina yeye kufika bongo katafuta na demu akaoa!! Sasa anaongeza stamina au ndio anaimaliza hata hiyo ndogo aliyokuwa nayo?? Wachezaji wa Tanzania huenda vichwani mwao wanadhani mafanikio katika soka ni kulala na ukiamka basi uko Man Utd au Barca au Madrid bila kufanya juhudi, nidhamu na kufata ushauri unaopewa na watu walioko kwenye fani hiyo...Hakuna kitu hapo!!!:pound::pound::pound::pound::pound::pound:
   
 7. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #7
  Jun 14, 2010
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,833
  Likes Received: 1,089
  Trophy Points: 280
  Nadahani siyo sawa, Ngassa au Tegete bado wadogo tu kwa umri likely 23yrs. Ngassa alikosa Westham kwasababu ya mabavu (nguvu) kitu ambacho si shida kwa Wenger, pia dogo atakuwa ameshajiweka sawa baada ya kuikosa Westham. Ngassa, Kig, Tegete na Mgosi ni wachezaji wazuri sana. I hope Wenger na makocha wengine watawaangalia hawa madogo.

  tuendelee kuzalisha wengine, akina Bunu (kama sikose) yule kinda aliyeibukia coca cola ya vijana akaenda Brazil.

  Wasiwasi; kuondoka kwa Maximo kunaweza kudidimiza soka letu, hawa wazungu (Paulsen) si wavumilivu. Mpira wetu, utaratibu wa TFF na Serikali kwa ujumla unahitaji kocha anayejitolea kwa moyo mkuu.
   
 8. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #8
  Jun 14, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Wenger was just joking. Hata hivo nakubaliana na mawazo ya mchumi Wenger. Africa is a untapped goldmine whereas u can chop-off and rip-off kwa kuwapa kioo cha kujiangalia na wao wakakupa dhahabu!
   
 9. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #9
  Jun 14, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  ...Usiwape hawa vijana matumaini ambayo hayapo Nemesis. Nani alikwambia kuwa soka ya Uingereza haihitaji mabavu (nguvu) kwani hata kama Arsenal watawachukua hao akina Ngassa, Tegete, sijui nani usitegemee kuwa wataishia kuchezea Arsenal tu si watatakiwa pia kucheza hata mashindano makubwa ya ulaya? hapo huhitaji nguvu napo?? Hivi unadhani hata wale watoto kama akina Nasir, Eduardo, Arshavin, Walcot, Fabregas unadhani ni midebwedo kama hao akina Ngassa?? Jamani kwenye ukweli tuseme tuache unafiki wa kuwapa vichwa hawa wachezaji wetu. Jambo kubwa ba la wazi ni kuwa wanatakiwa kujijenga sana katika maeneo yote muhimu anayotakiwa kuwa nayo professional footballer. Habari ndio hiyo!:pound::pound::pound::pound::pound::pound::roll:
   
Loading...