Kinara Wa Mil.7/= Kwa Dakika Sasa Afikisha Makosa 383

Alikuwa " hewa"
Tumeishaambiwa, nchi hii, kila kitu ni hewa hewa tu. Teh teh teh
 
Milioni 7 kila baada ya dakika moja. So, kama alikuwa anaanza kupiga say saa 2 kamili asubuhi mpaka saa 9 na nusu mchana, alikuwa anaibuka na zaidi ya Bilioni Tatu na Nusu, fedha halali za kiTanzania. Daily.

There was no such a thing. Magu, alikuwa anatafuta kick tu..
 
Ukitaka kujua yupo wapi waulizeni watu waliopo Arusha wakuambie Boss wa NEWL/Elirai construction yuko wapi? Jibu utakalopewa ujue mahala alipo huyo na huyu unayemuulizia yupo hapo hapo
 
Me naona tulidanganywa maana huyu baba mwenye nyumba anavyopenda misifa ungekuta

anamsema sema kila mara
 
Milioni 7 kila baada ya dakika moja. So, kama alikuwa anaanza kupiga say saa 2 kamili asubuhi mpaka saa 9 na nusu mchana, alikuwa anaibuka na zaidi ya Bilioni Tatu na Nusu, fedha halali za kiTanzania. Daily.

There was no such a thing. Magu, alikuwa anatafuta kick tu..
inawezekana sema Mkuu alitia chumvi sana hyo amount ni kubwa kidogo, halafu hizo hela sio za mtu mmoja kuna msururu wa watu anaotakiwa awalipe
 
LEMA KIGOGO.jpg
 
Back
Top Bottom