Kinana: Unayakumbuka haya maneno wakati unaga'atuka

Nicazius

Senior Member
Feb 6, 2008
143
17
1. Mjumbe wa CCM miaka 25
2. Kuachana Kweka na siasa hakutakuwa na madhara kwa chama chake, kwani CCM ina hazina kubwa ya viongozi ambao wana sifa na wanaweza kuongoza chama hicho kuelekea Uchanguzi wa 2015
3. "Uongozi ni kupokezana vijiti, wako wanaCCM wazuri, walio na uwezo mkubwa na sifa za kutosha kuongoza"
4. Anajivunia kufanya kazi na marais wote kuanzia mwalimu hadi JK kwa uadilifu mkubwa na kuheshimiana.

Ushauri wake kwa Viongozi wapya
1. Viongozi wapya ambao wanatarajia kuchaguliwa ndani ya chama chake, iwapo wataona upungufu wake wausahihishe
2. Viongozi wasiwaze nani anafaa kuwa mgombea urasi bali washughulikie kero za wananchi

Nini atafanya baada ya kustaafu
1. Kuona kama anaweza kufundisha
2. Kusoma katika mojawapo ya vyuo vikuu vyetu.

Sasa, imekuwa vipi tena unarudi Jukwaani na kuanza kutuhubiri ulichoamua kukiacha september 2012?

Kweli siasa tamu sana.
 
Attachments

  • Kinana Ang'atuka CCM.pdf
    557.8 KB · Views: 356
  • Kinana Ang'atuka CCM2.pdf
    448.4 KB · Views: 228
Hata mimi ninakumbuka sana maneno yake hayo sasa ameona nini na ninatumaini hata wanaccm wamelala ila kwa viongozi wa juu wanamlinda kwa mambo ya meno ya tembo sikutegemea kama jamaa atarudi tena kwenye uongozi ccm je wanaccm mko sawa sawa kweli sidhani kama mnakumbuka maneno ya viongozi wenu au mkivalishwa mashati, tshirt,kofia basi akili inasahau inasikitisha sana.
 
... Huyu ZILIZOPENDWA amekuja kuhujumu pembe za ndovu tu, na kuchukua alivyokuwa hajapata. Hule wakati wake wa miaka 47, hii sera mpya ya CHUKUA CHAKO MAPEMA,ilikuwa bado haijaanza kutekelezwa.
 
1. Mjumbe wa CCM miaka 25
2. Kuachana Kweka na siasa hakutakuwa na madhara kwa chama chake, kwani CCM ina hazina kubwa ya viongozi ambao wana sifa na wanaweza kuongoza chama hicho kuelekea Uchanguzi wa 2015
3. "Uongozi ni kupokezana vijiti, wako wanaCCM wazuri, walio na uwezo mkubwa na sifa za kutosha kuongoza"
4. Anajivunia kufanya kazi na marais wote kuanzia mwalimu hadi JK kwa uadilifu mkubwa na kuheshimiana.

Ushauri wake kwa Viongozi wapya
1. Viongozi wapya ambao wanatarajia kuchaguliwa ndani ya chama chake, iwapo wataona upungufu wake wausahihishe
2. Viongozi wasiwaze nani anafaa kuwa mgombea urasi bali washughulikie kero za wananchi

Nini atafanya baada ya kustaafu
1. Kuona kama anaweza kufundisha
2. Kusoma katika mojawapo ya vyuo vikuu vyetu.

Sasa, imekuwa vipi tena unarudi Jukwaani na kuanza kutuhubiri ulichoamua kukiacha september 2012?

Kweli siasa tamu sana.
Ulinzi wa Tembo na Faru umeimarishwa sana Nitakufa njaa! Ninahitaji kichaka cha majambazi wenzangu ili kufanikisha mauaji ya Faru na tembo! Selous imekuwa sana!! Nitapata safari za kikazi kusini ili nipitie Selous kwa ile kazi yangu kuu UJANGIRI
 
hawa jamaa mtashuhudia kwa sasa wakirejea wengi, nia yao sio kujineemesha kama walivyoingia mara ya kwanza bali ni kutafuta protection ya vile walivyokwisha jikusanyia.
Kasi ya mageuzi inafanya wasimwamini mtu hivyo kujilinda wenyewe. Lakini ndio hivyo tena,wind of change is already here!
 
wananchi tulio wengi hatuoni na wala hatusikii. mtu kama huyu ni kete nzuri sana ya kukichukia chama hicho, iweje wampe ukatibu mtu ambaye ana kashfa nyingi tena mbaya, na isitoshe alishaamua kustaafu siasa? Bado tu tunajiunga na lichama linalotufanya sisi ni mafala wa kutupwa. Hii kweli ni Ajabu.
 
1. Mjumbe wa CCM miaka 25
2. Kuachana Kweka na siasa hakutakuwa na madhara kwa chama chake, kwani CCM ina hazina kubwa ya viongozi ambao wana sifa na wanaweza kuongoza chama hicho kuelekea Uchanguzi wa 2015
3. "Uongozi ni kupokezana vijiti, wako wanaCCM wazuri, walio na uwezo mkubwa na sifa za kutosha kuongoza"
4. Anajivunia kufanya kazi na marais wote kuanzia mwalimu hadi JK kwa uadilifu mkubwa na kuheshimiana.

Ushauri wake kwa Viongozi wapya
1. Viongozi wapya ambao wanatarajia kuchaguliwa ndani ya chama chake, iwapo wataona upungufu wake wausahihishe
2. Viongozi wasiwaze nani anafaa kuwa mgombea urasi bali washughulikie kero za wananchi

Nini atafanya baada ya kustaafu
1. Kuona kama anaweza kufundisha
2. Kusoma katika mojawapo ya vyuo vikuu vyetu.

Sasa, imekuwa vipi tena unarudi Jukwaani na kuanza kutuhubiri ulichoamua kukiacha september 2012?

Kweli siasa tamu sana.
Kama wewe ni mfanyakazi jaribu kustaafu kama mwezi mmoja tu harafu atokee mtu akupe kazi uone kama hutokimbilia kwenye kazi hiyo kwa gharama yoyote. Kukaa benchi si mchezo.
 
Jumuiya ya Wanyama Walao Nyasi (JWWN), Bw Tembo amemtangaza Kinana ni most wanted kitaka hifadhi zote nchini.
 
wakuu tujadilini hoja, tuache mizaha! kweli kinana ni JANGILI, lakini, kama ni suala la Tembo lijadiliwe kivyake! sio kila thread ya kinana, ni TEMBO, TEMBO , TEMBO..tusiige CCM style of discussion, we are the great thinkers you know?
 
Kurudi kwa Kinana inawezekana ni kwa ajili ya "kulinda maslahi" lakini kurudi kwa P. Mang'ula ni kitendawili kigumu zaidi...!
 
wakuu tujadilini hoja, tuache mizaha! kweli kinana ni JANGILI, lakini, kama ni suala la Tembo lijadiliwe kivyake! sio kila thread ya kinana, ni TEMBO, TEMBO , TEMBO..tusiige CCM style of discussion, we are the great thinkers you know?

sawa kabisa mkuu tujadili mada hii ambayo 100% ni kweli hayo alioyasema ni kweli kabisa sasa sijui CCM hawalijui hilo. na hao viongozi aliowasema hawapo mwenyewe kinana alitakiwa aseme nani anafaa kuwa katibu nae akae pembeni lakini inaonyesha yeye mwenyewe hana maamuzi na asimamii maamuzi yake je anafaa kuwa kiongozi tena wajuu wa chama. hakika sisiem ni walewale
 
1. Mjumbe wa CCM miaka 25
2. Kuachana Kweka na siasa hakutakuwa na madhara kwa chama chake, kwani CCM ina hazina kubwa ya viongozi ambao wana sifa na wanaweza kuongoza chama hicho kuelekea Uchanguzi wa 2015
3. "Uongozi ni kupokezana vijiti, wako wanaCCM wazuri, walio na uwezo mkubwa na sifa za kutosha kuongoza"
4. Anajivunia kufanya kazi na marais wote kuanzia mwalimu hadi JK kwa uadilifu mkubwa na kuheshimiana.

Ushauri wake kwa Viongozi wapya
1. Viongozi wapya ambao wanatarajia kuchaguliwa ndani ya chama chake, iwapo wataona upungufu wake wausahihishe
2. Viongozi wasiwaze nani anafaa kuwa mgombea urasi bali washughulikie kero za wananchi

Nini atafanya baada ya kustaafu
1. Kuona kama anaweza kufundisha
2. Kusoma katika mojawapo ya vyuo vikuu vyetu.

Sasa, imekuwa vipi tena unarudi Jukwaani na kuanza kutuhubiri ulichoamua kukiacha september 2012?

Kweli siasa tamu sana.

Madaraka na pesa ni vitu vitamu sana jaman,mwacheni ale fungu lake as you know utaratibu ni chukua chako mapema!!!!!!
 
Ninaamini hakuna kisichojulikana kwa ccm kwa kumchagua Kinana ila kila mmoja ana madhambi yake wanaangalia ni nani ana uafadhali. Wameona Kinana ni afadhali kwakuwa yeye aliamua kuingia porini kupambana na Tembo. Wengine wakaamua kuingia mikataba mibovu na wengine mabenki ilimradi kila mmoja amepata chaka lake na hakuna kugusana mikono wakati wa ulaji.
 
hawa jamaa mtashuhudia kwa sasa wakirejea wengi, nia yao sio kujineemesha kama walivyoingia mara ya kwanza bali ni kutafuta protection ya vile walivyokwisha jikusanyia.
Kasi ya mageuzi inafanya wasimwamini mtu hivyo kujilinda wenyewe. Lakini ndio hivyo tena,wind of change is already here!

Ni kweli usemayo. Mkapa pia anataka sana kurejea ili kupata ulinzi wa uchafu aliyofanya, sema tu anaona haya. Hivyo anafanya hivyo through proxies. Na kila mara utamuona anaingia au anachungulia jikoni kuangalia mambo yanavyokwenda ili asishtukiziwe bila taarifa.
 
Back
Top Bottom