Kinana: Rais anasahihisha makosa ya serikali na pia anatekeleza kiapo chake

Waache tu waendelee kuliibia taifa! Kwa nini huendi kuwazuia?

Kuhusu Kalemani, kwani ulitaka akuletee wewe hiyo declaration yake? Nenda kwenye Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma.

Ndipo tunapopata kujua hakuna NIA njema yeyote.Kama Kalemani ndiyo muandishi wa hiyo mikataba leo unamwmabia anayehoji niende tume ya maadili kufanya nini??

Ikiwa Kalemani ni mmoja wao,kwanini asiadhibiwe?Sababu ni kutoka kanda ya ziwa period.Hakuna cha nia njema wala uzalendo upuuzi mtupu
 
Nadhani hujui maana ya neno ''kufilisi''.

Kwa hiyo unataka Lowassa na Sumaye wapewe nchi! Gimme a break!

sijasema hata siku moja lowasa na sumaye wapewe nchi..Siku zote nimesema lowasa na sumaye wapelekwe Jela ndipo sehemu wanapopaswa kuwa pamoja na majizi wenzao .ninyi hapo..na wenyeviti wenu wa CCM Mkapa na Kikwete.....

Kinyume na hapo ni kupiga porojo zisizo na faida

CCM mmeiangamiza sana hii nchi..Mungu ameibariki imekuwa na rasilimali za kutosha ...lakini kwa roho zenu za kishetani..na ubinafsi mkubwa mmeifilisi nchi hii....

Ninyi nyote mnapaswa kunyongwa..na makaburi yenu yanapaswa kuchapwa viboko
 
Anasahihishaje makosa ya serikali ikiwa Mhe. Tundu Antipas Lissu anauliza kuhusu Bombadier, Standard Gauge na Uwanja wa Bombadier wa Chato?
Aendelee kuuliza na reli, makutano ya tazara, marekebisho ya huduma za hospitali, shule bure, uthibiti wa ukwepaji kodi bandarini, uthibiti wa matumizi serikalini, kuruhusu waropokaji kama yeye waendelee kusema. Ni mengi, aulize tu, ni mengi.
 
Anasahihisha makosa ya kina nani?

Masahihisho yawekewe matangazo live ila makosa yanaendelea kufichwa?

Worse makosa yaaina hiyo yanaendelea kufanyika kwenye mikataba anayosign yeye mwenyewe?tena wakati tume zikiendelea na kazi?

Does that make any sense?
 
Nadhani hujui maana ya neno ''kufilisi''.

Kwa hiyo unataka Lowassa na Sumaye wapewe nchi! Gimme a break!

Waunganisheni kwenye ile list ya jana, maana inaonekana awamu ya tatu na nne hii sarakasi inawahusu.........
 
Back
Top Bottom