YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,902
- 51,995
Abdulahaman Kinana katibu mkuu wa CCM ndiye katibu mkuu bora kuliko wa vyama vyote vya siasa Tanzania.
sifa
1 Ni msomi akiwa na digrii mbili ikiwemo Masters ya uongozi wa umma aliyopata toka chuo bora kuliko vyote duniani cha Havard kilichoko Marekani
2.Amekuwa kiongozi wa vijana wa chama kwa miaka mingi hivyo mambo ya vijana anayajua vizuri
3.Alikuwa ni kanali JWTZ hivyo jeshi analijua vizuri sana
4.Alikuwa ni mwalimu wa Siasa jeshini hivyo siasa za kijeshi anazijua
5.Alikuwa Mwalimu wa siasa chuo cha CHAMA kivukoni akifundisha na kupika na kuwaanda wanasiasa wa CHAMA HIVYO MWALIMU WA siasa kushika ukatibu mkuu saizi yake
6.Alikuwa naibu waziri wa mambo ya nchi za nje hivyo siasa za kimataifa hazimpigi chenga
7.Alikuwa naibu waziri wa ulinzi
8.Alikuwa mbunge wa Tanzania na Afrika Mashariki hivyo siasa za mabungeni anazijua
9.Alikuwa Spika wa Bunge la Afrika Mashariki hivyo anajua siasa za kuendesha mabunge
10.Alikuwa kampeni meneja wa kampeni za urais CCM zilizofanikisha kuingiza wagombea urais,wabunge na madiwani wa CCM madarakani
Ukiangalia sifa Kinana alizonazo huwezi kulinganisha na makatibu wakuu wa vyama vingine ambao wengine hawana uzoefu wowote wa uongozi ndani ya vyama au serikali zaidi ya kuwa wamewahi fanya kazi ya kugawa vidonge vya panadol mahospitalini.